Ongezeko la Wanawake (Mabinti) Wenye Vitambi (Obesity) Mtaani

Ongezeko la Wanawake (Mabinti) Wenye Vitambi (Obesity) Mtaani

Jamani inabidi Twende Nao pole pole mwayaa, Watu wanapitia Mengi.
Kweli kabisa ukitaka kumjua wa hivi anachukia kutongozwa na ana jihami sana!! Dr Bingwa wa kina mama dR Manyonyi wa Temeke! alisema kuwa Zamani ilikuwa kwa kina mama wenye umri mkubwa tu..

Lkn siku hizi hata Mabinti wa miaka ishirini wan tatizo hilo! ni vyema mtu ukitaka kuoa uoe kiportable! tumbo flat! tipwa tipwa litakupa shida sana!
 
Kweli Vipotabo, ndio Mpango mzima hata Mimi najitahid Kupendelea Vimodo.

Alafu Unajua Wazazi wanachangia Kumshindilia Mtoto Anakua Kitoto kinene anaona ndio Afya. Kumbe.

Pale kwenye mwili wa Mtoto Kuna Tissue zinaitwa (Adipose) Hizi hua zinakua zimetengenezwa Kwa Wingi Mtoto anapokua amenenepa na Mtoto anavyo endelea kunenepa Zinaongezeka.

Mtoto akipungua Unene hua haziondoki Moja Kwa Moja Zina Sinyaa Tuu. Mtoto Akifika Umri Flani akajisahau kwenye mambo ya msosi, Lazima afumuke awe Bonge Bonge Kupindukia, Kupelekea Matatizo Huko Mbele ya Kiafya.

Hata Kwa Watoto, Kataa Kitambi. Mtoto Atakuja Kuteseka Kupunguza Uzito Mbeleni.

Muda Ni Sasa.
 
Ila nyie wanaume ni wanafiki. Si mnawasifiaga hawa wanawake leo mnawaponda
 
Wanajamvi vipi hii kitu imekaaje eeeh...???
Mbona hali hii inazidi kushamiri sana...?
Idadi ya matumbo makubwa imekuwa kero

Mwanamke anakuwa na tumbo kubwa kweli kweli eeh.
Mtoto mdogo tuu anaanza kuwa na Tumbo kubwaa.
Sijui inakuweje.
Kama kuna wataalam humu watufafanulie inakuweje idadi inazidi kukua ya wanawake kuwa na Tumbo kubwaaa.

Nawasilisha nikiwa na mshangao sanaaaaaa.
 
Kuna wanaozaa Kwa operation, wapo wanaokuwa na mafuta mengi, wapo wajawazito, waliojifungua na hawakuyabana matumbo n.k.
 
Chanzo kikuu ni Matumizi ya Dawa za Uzazi wa Mpango hasa Vidonge vya Uzazi wa Mpango. Wizara ya Afya wasaidieni dada zetu hali ni mbaya, fanyeni utafiti wa dawa mnazowapa kwa sasa huenda zinakinzana na homoni za Watu weusi/Afrika. Je hizo dawa ndizo zinatumika Somalia, Ethiopia nk
Vidonge vilishapigwa marufuku
 
Back
Top Bottom