Ongezeko la Wanawake (Mabinti) Wenye Vitambi (Obesity) Mtaani

Miq
Mianamike ya ckuiz Ni milafi na Tena milaji Sana,unakuta limwanamke linakula ugali mkubwa ambao unaweza liwa na wanaume wanne na wakashiba vizuri tu.
 
Vyakula vya wanga vingi bila zoezi inabadirisha na kuwa fat hivyo sehemu zote ambazo fat huhifadhiwa ndo inayoathirika

Ila wanakuwa naniii eeeee kunako naniiiieeee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hata wanaume ukiwa na kitambi kupitiliza sio poa, msituseme sisi Tu na nyie pia hili linawahuau
 
Nyama hainenepeshi

wanarara-wanalala
Kuna mtu pia alisema, nyama hainenepeshi kama wengi wanavyodhani.

Kama ingekua inanenepesha mbona tembo anakula majani na bado ni kibonge 😄😄

Hii inahitaji ufafanuzi kidogo mkuu
 
Hata wanaume ukiwa na kitambi kupitiliza sio poa, msituseme sisi Tu na nyie pia hili linawahuau
Wanawake hali ni mbaya zaidi.

Mnapoteza mvuto kabisa, mnaonekana wamama. Dogo wa 25 yrs anakua kama ana 40 yrs kisa ndambi na minyama uzembe kibao. Na bora awe mrefu sasa, hili janga huwapata sana wanawake wafupi.

Hakuna nguo itamkaa mwanamke mwenye ndambi ya kwenda, bora hata wanaume huvaa suti walau huonekana nadhifu hata kama ana kitambi.

Pia kwa mwanaume kitambi hakionekani akiwa na pesa, lakini mwanamke hata awe na pesa kiasi gani bado ataonekana mbovu na muonekano mbaya kisa ndambi.
 
Basi sawaaa🤣🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…