Ongezeko la wasomali Tanzania linaweza kutishia Amani na Kutufanya vibaraka siku za usoni!!

Wewe hata unachokisoma hukielewi.

East African Coast Wasomali wapo kabla ya Wabantu.
 
Wewe hata unachokisoma hukielewi.

East African Coast Wasomali wapo kabla ya Wabantu.
Dada elimu sio jadi yenu , ni vile tu vyuo vya ifm na unesi vinawasaidia baadhi ndo sasa mnatka kuvuka mipaka hadi ardhi za wenzenu mnasema zenu soma hapa sasa
1. khoi khoi na san hunters ndio walikua wakwanza kufika kwenye coast za east africa. Kupitia pande za kusini mwa Tanganyika i.e songea na mbeya ya sasa pia walipita kenya.

2.Halafu wakaja wa bantu wote hawa ni weusi miaka ya 500A.D kupitia central africa na walikaa sana na kutawala East africa kwa muda mrefu mpka kuzaliwa makabila mengi na chifu nyingi.
3. Nyie asili ya kushite mlikuja baadae sana kupitia north africa ambapo ndo asili yenu kuu nyie na wa ethiopia,tutsi ni asili moja na mlifika 1000 A.D

N.B uliwahi kujiuliza vita ya watutsi na wabantu ili sababishwa na nini na wakina nani ni wenyeji ?


Narudia tena soma, soma, soma, usikurupuke tu kuleta hoja mama na huna fact mwarabu koko!!!
 
Elimu yote 7nayoijuwa leo hii duniani, kasome uelewe imetokea wapi.

Waislam ndiyo waliokustaarabisha wewe.

Au wewe siyo mstaarabu?

Miaka michache tu nyuma ilikuwa bara huko ukiongea Kiswahili wanasema anaongea "Kiisiramu".
 
Elimu yote 7nayoijuwa leo hii duniani, kasome uelewe imetokea wapi.

Waislam ndiyo waliokustaarabisha wewe.

Au wewe siyo mstaarabu?
Siwezi bishana na wewe nimekupa fact una toka kwenye mjadala sasa uislamu unaingilia wapi sasa kwenye first settlers in east african coast ndo maana tunasema mnatka kuleta jihad sidhani kma lengo lenu litafanikiwa kwa dunia ya ssa labda mzaliane tu tumix tupate machotara flani😂😂 mpka hapo huna cha kujibu
 
Wanatakiwa kuongezeka kuwa wengi,Taifa kujaa Majitu mengi majinga kama mtoa mada yasiyo na akili ni hatari kwa Ustawi.

Wasomali kuanzia kina Kinana,Bashe na Hamza wanahitajika sana
 
Kama wasomali wenyewe kwa wenyewe lugha, dini, taifa moja wanashindwa kuishi kwa amani
Itawezekana vipi waweze kuishi na jamii nyingine kwa amani
Ile barabara ya Arusha namanga nani asiyejua visanga vya wale wasomali wahuni.
 

Hapa ww mbibi unapotosha !! hii si kenya kenya ndio wamepakana na inaleta sense kwan maeneo ya mandela, garissa ni sehemu ambazo waliishi tangu uhuru.
wasomali asili yake n pembe ya africa nako walihamia kutoka ukanda wa misri !!

Kati ya makabila 100 na kitu yaliyounda tanzania kipindi cha uhuru hamna kabila la wasomali
 
Kwanini uwe kibaraka?
 
Hili nalo neno.

Tayari wameshajipenyeza kila mahali.Makamu Mwenyekiti CCM ni msomali.Waziri wa Kilimo msomali,Rais wa TFF msomali huko Yanga ndio usiseme lazima hii jamii iliyojaa laana idhibitiwe mapema.
 
Kama una dhani ni udini nenda na pua lako pana somalia uone utavoitwa majina yote mabaya!!!….
Sina udini wwte
Kwa kweli hili sio kweli kabisa
Nimetembelea miaka ya nyuma Mogadishu
Hakuna majina wala ubaguzi
Wapo bantu kibao na wana biashara nyingi sana na mpaka polisi na jeshi wamo
Kama hujafika usiwalishe watu habari zisizo za kweli sio vizuri

Wakenya ndio walianzisha hii mada na kusema baada ya miaka 50 wasomali watawatawala huku wakijua fika kuna mikoa ya wasomali na ni wakenya kama wao
Na wanasoma haswa na ni vichwa

Niko Ulaya sijawahi kusikia haya mambo kwa wazungu dhidi ya wengine, maana mazungu yanasoma haswa na sio kukariri
Ila kwenye biashara wahindi wamo sana na tajiri wa kwanza UK ni muhindi na wa tano muhindi pia


Pambaneni kwa akili na muwe na maisha na ardhi ni yenu nunua sehemu za kati mjini jenga wakodishie kwa bei mbaya
Na nyie zaeni sana
Nchi nyingi duniani matajiri wakubwa ni foreigners.

Unajua kwa nini?
Wanapoingia kwenye nchi ngeni hakuna kitu kirahisi kama kuanza biashara maana serikalini hawawezi kuingia na hata maofisini kwa vigezo vya nchi

Wengi wao ni biashara au kazi za mkono ila wanaweka akiba sana

Kuna siku nilikuwa duka la mhindi West London akaingia mzungu kuongezea pombe za kopo akiwa kalewa
Akamwambia yule mhindi how come you are so rich and I'm poor?
Mhindi akamwambia kiasi wewe unalewa miaka 25 ninayokujua mimi nilikuwa napokea akiba yako unayonunulia pombe

Sasa kama akiba yako inaishia kwenye pombe na Malaya wakati opportunities zimejaa na ardhi yenu kwanini ikuume?

Kuna nchi 11 Latin America zilikuwa na wapo marais wenye asili ya kiarabu unalijua hilo?
Na wao ndio wamewachagua
 

Mijitu ignorants kazi yao kubwa kusambaza chuki na hofu....anazungumzia Somalia na hajafika
 
Kama nchi iliwamudu Wahutu (Waha, Wanyamwezi, Wasukuma) na Watusi (Wahangaza, Wazanaki) na Wakikuyu (Wachagga) watawashindwa Wasomali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…