Ongezeko la wasomali Tanzania linaweza kutishia Amani na Kutufanya vibaraka siku za usoni!!

Juzi kuna uzi humu ulisema jamii ya kizaramo inatoweka, nikatolea mfano ujio wa kasi wa wasomali, wachina, waarabu na wahindi kuwa ni hatari kwa ustawi wa watu weusi huko mbele ya safari, nilishambuliwa sana

Naomba nikaangalie uzi wako mkuu
 
Hili nalo neno.

Tayari wameshajipenyeza kila mahali.Makamu Mwenyekiti CCM ni msomali.Waziri wa Kilimo msomali,Rais wa TFF msomali huko Yanga ndio usiseme lazima hii jamii iliyojaa laana idhibitiwe mapema.
Hata hapo unapopanga kwenye hicho kiduka Bondeni Arusha wewe pia huna haki hiyo unaowakataza wengi. Rudi kwenu ukapalilie migomba.Mawazo ya ubaguzi hayatamuacha mtu salama.Mtaanza na wasomali,halafu wachagga,wahindi,wakinga.Fanya kazi ya kubadili maisha yako.
 
Mijitu ignorants kazi yao kubwa kusambaza chuki na hofu....anazungumzia Somalia na hajafika
Kweli mkuu yaani hii mada kuna jitu huko Kenya lililalamika ooh sisi mnatukataza kuzaliana wakati wasomali wanazaa watoto wengi
Kwamba baada ya miaka 50 wasomali wataiteka Kenya
Sasa na yeye kaiokota huko kaileta vile vile ila kabadili nchi tu

Anasema wabantu wanabaguliwa Somalia bila facts zozote mradi tu

Umasikini wao na chuki ndio fursa kwa wanaoingia hapo
Dunia hii ni kupambana na maisha na sio kulia lia
Niko nje napiga kazi haswa lakini sijawahi kuambiwa toka kwetu 😄 🤣
 
Hata hapo unapopanga kwenye hicho kiduka Bondeni Arusha wewe pia huna haki hiyo unaowakataza wengi. Rudi kwenu ukapalilie migomba.Mawazo ya ubaguzi hayatamuacha mtu salama.Mtaanza na wasomali,halafu wachagga,wahindi,wakinga.Fanya kazi ya kubadili maisha yako.
Safi sana hawa racists wapigwe vita sana mpaka wakae kwenye mstari
Ni wivu na umasikini tu unawasumbua

Eti nchi tajiri hiiiiii ila watu ndio hao
 
Kweli mkuu yaani hii mada kuna jitu huko Kenya lililalamika ooh sisi mnatukataza kuzaliana wakati wasomali wanazaa watoto wengi
Kwamba baada ya miaka 50 wasomali wataiteka Kenya
Sasa na yeye kaiokota huko kaileta vile vile ila kabadili nchi tu

Anasema wabantu wanabaguliwa Somalia bila facts zozote mradi tu

Umasikini wao na chuki ndio fursa kwa wanaoingia hapo
Dunia hii ni kupambana na maisha na sio kulia lia
Niko nje napiga kazi haswa lakini sijawahi kuambiwa toka kwetu 😄 🤣
Kwamba hakuna uwepo wa somali bantu kufurushwa somalia hadi kuwa wakimbizi?.
 
Sometimes watu weusi tuna inferiority complex kubwa sanaaaa
Kweli kabisa mkuu,
Ima
Sometimes watu weusi tuna inferiority complex kubwa sanaaaa
Analalamikia wasomali 200,000 tu kwenye population ya zaidi ya 60m
Hapa tunalingana na UK ambayo ni kisiwa kidogo chenye watu 68m tena kadogo sana ila angalia kuna wa Asia zaidi ya 5m ambao wana changia pato la nchi kwa kiasi kikubwa sana
Badala tufurahie wanatuletea maendeleo na kodi nchini tunapiga kelele
Screenshot_20240114_085913_Google~2.png
 
Waacheni tu... mbona wapo walioishi hapa miaka mingi tu na hakuna tatizo?!

Labda mleta mada ana chuki ya udini au hajawafahamu wasomali vizuri... wana matatizo yao huko kwao ila wakija hapa mbona wapo Cool tu?! 🤔🤔🤔

Wamejazana Kariakoo, Ilala, Temeke na Mikocheni. Tena ni matajiri na wanatoa ajira kwelikweli kwa vijana wa kitanzania.

Waacheni tu
 
Kwamba hakuna uwepo wa somali bantu kufurushwa somalia hadi kuwa wakimbizi?.
Hilo lingine lakini wabantu wapo Somalia miaka mingi sana na wana maisha kama raia wa kawaida
Kuhusu kufukuzwa hiyo ni siasa zaidi na sio vingine

Tz mpaka leo kigoma ni kama nchi jirani na mnawasumbua Waha kila kukicha je hilo unalisemea vipi?
 
Wakimbizi walikuwa wasomali wote kwa ujumla. Somali Bantu walikimbia vita kama wasomali wengine. Majority walibakia na hata wengine waliokuwa Tanga wamerudi Johar kwenye makazi yao ya zamani kwani wao ndio wamiliki wa ardhi yenye rutuba zaidi Somalia.
Hata wapemba walipokimbia vurugu za 1992 baadhi yao walikimbilia Somalia na kuweka makazi huko na kuoa na kuolewa na wasomali.
Usilolijua ni usiku wa giza.
 
Tena Johar kulikuwa na kiwanda cha Sukari zamani sijui kipo bado
Ila Somalia enzi hizo daa
Wape historia mkuu wao wanajua Israel tu
 
hawa jamaa wanazaliana wapemba wakasome aisee kuna sehemu nlienda kuna watoto kama 8 hv afu wote wa mama mmoja wanafuatana tuu
Sasa wewe kama una matatizo ya uzazi au nguvu za kiume unataka kupangia wengine wasio na tatizo wakae bila watoto kama wewe?Kama wana uwezo wa kuwalea why not?
Hata China wameacha policy yao ya one child licha ya kuwa na mabilioni ya watu.
Umefikia kupangia watu maisha na kupanga idadi ya watoto?
Wacha majungu fanya kazi ubadili maisha yako.
 
kwani wapi nimeandika kuwa waache kuzaa au ...? mm nimewapa sifa yao kuu kuzaliana kwa kasi au nimekosea nn hapo bwana omary msomali ....?mbna una makasiriko omqry msomali wapi nimewakandia au kuwapangia maisha jamii yenu zqidi ya kuwapa sifa
 
Kwanza mimi sio msomali.Ndio tatizo lako ku assume. Kama kusifia kwako ni hivyo basi sitaki kujua ukikejeli.Huwezi kuwaita wanadamu "wanazaliana" hiyo ni reference inatumika kwa wanyama au wadudu.Wanazaliana kama mbwa au mchwa.Naelewa lugha ya kiswahili inakupiga chenga.Hujui neno hilo umelitumia kwa kejeli na sio sifa au unafanya makusudi.The choice is yours.
 
sawa mkuu hayo ni mawazo yako kama nimekuudhi nisamehe ila sijamaanisha kama ulivowaza
 
Hilo lingine lakini wabantu wapo Somalia miaka mingi sana na wana maisha kama raia wa kawaida
Kuhusu kufukuzwa hiyo ni siasa zaidi na sio vingine

Tz mpaka leo kigoma ni kama nchi jirani na mnawasumbua Waha kila kukicha je hilo unalisemea vipi?

Unafuatilia mambo ww au unasema tu!!

unajua ni wabantu wangapi nje ya somalia wanaookolewa kutokana na Ethnic cleansing!!

Nimekuwekewa na headline hapo!!
 
Back
Top Bottom