FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
East Africa coast ndiko nilikozaliwa na kukulia, unataka kunifundisha mimi? Kwetu ufukweni mwa bahari ya hindi kijana.View attachment 2871947
Bibi faiza tunapoongelea East afeica cost tunamaanisha kitu kama hicho ukiacha huko visiwani
[mention]FaizaFoxy [/mention] [mention]FaizaFoxy [/mention]
Naona huelewi kuwa ninaposema Wasomali walikuja kwanza Coast ya Afrika mashariki kuliko wabantu maana yake nini.
Ngoja nikueleimishe kidogo.
Wabantu wamekuja huku pwani ya Afrika Mashariki kwa njia ya bara, kukatiza misitu imewachukuwa karne nyingi sana mpaka kufika ardhi hii ambayo leo inaitwa Tanzania na kufika ufukweni, ndiyo kabisa, labda walikuja kama watumwa au wapagazi. Wakati huohuo Wasimali ambao ni Makushi, walikuwa baharini, wanazunguka bahari yote ya mashariki ya Afrika kwa mitumbwi kwa ngarawa kwa majahazi kwa meli wakifanya biashara zao na uvuvi.
Sasa utataka kushindana nao hao kuwa wewe mwenyeji huku zaidi yao? Ikiwa ukisoma huelewi basi hata picha huioni??
Pengine wewe hata bahari huijuwi mpaka leo hii.