Somalia sio mwanachama wa EAC.SOmalia ni mwanachama wa EAC...!
Atakaye fata ni Ethiopia, Malawi na Zambia...!
Msumbiji bado tuna mfikiria japo anaweza kuwa sehemu ya jumuiya kwa siku za usoni...!
Bila kuwa sahau wangazija huko Comoros nk
Ila hualikwa tu katika vikao vyake.
Kama ni mwanachama kwann rais wa Somalia alipoalikwa katika ufunguzi wa barabara za EA kule Arusha alisema anasikitishwa kutokukubaliwa kuwa mwanachama licha ya kualikwa kote na maombi alishatuma???