Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Unapo zungumza elimu ilianzia ngazi ya elimu ya chuo kikuu?Twende taratibu kijana, unaelewa kuwa Chuo Kikuu cha kwanza duniani kaanzisha Muislam tena mwanamke na ni hapahapa Afrika?
Kwa sababu walioanzisha mfumo wa kwanza wa Elimu na kuanza kuandikia vitu kwenye mfumo rasmi wa maandishi ni watu wa Mesopotamia.
Wakati huo hakuna vyuo vikuu wala nini.
Unajua mfumo wa kwanza rasmi wa maandishi ulikuwa unaitwa Cuneiform uligunduliwa huko Mesopotamia katika falme ya Sumerian.
Tutajie hicho chuo kikuu cha kwanza duniani kilianzishwa lini tulinganishe na ugunduzi wa maandishi wa kwanza.