Ongezeko la wasomali Tanzania linaweza kutishia Amani na Kutufanya vibaraka siku za usoni!!

Ongezeko la wasomali Tanzania linaweza kutishia Amani na Kutufanya vibaraka siku za usoni!!

Serikali ingekuwa ishawachukulia hatua kama Wana madhara maana wapo wanafanya mambo sijaona shida yeyote.

serikali si watu kama ww!!

Akili hizo hizo hoe hae ulizonazo ungekua umezaliwa koo za wanasiasa wangekua washakupenyaza na kiongozi!!

acha udumavu wa akili
 
Kwenye historia mm mwepesi.ila nimezama google nkakutana na hii.wabantu walikuja east africa mika 2000 hadi 500 bc yaan kabla hata yesu hajazaliwa .kisha waarabu walikuja miaka 7000 badae .zanzibar na tanzania waazi wake wa kwanza ni wa bantu.wacush wakiwemo wstusi na wasomali ardhi yao duniani ni north africa ndo kwao

huyo wakala wa wasomali yupo kupotosha humu
 
Juzi kuna uzi humu ulisema jamii ya kizaramo inatoweka, nikatolea mfano ujio wa kasi wa wasomali, wachina, waarabu na wahindi kuwa ni hatari kwa ustawi wa watu weusi huko mbele ya safari, nilishambuliwa sana
Wazaramo ndio Waluguru waliozamia Dar
 
Huyo jamaa mbona anaongea utumbo??
Hajui kama katika invention waislam wanahusika .
Hajui kama hiyo hisabati na fisikia aliyosoma kuna mchango wa waislam.
Hajui kama kuna vifaa tiba viligunduliwa na waislam wakiajemi wa kiiran na kiturkmeni wazungu ndio wakafanya modification.
Hajui kama kuna kemikali za viwanda na maabara zipo zilizogunduliwa na waislam wa kiiran na kiturkmeni.
Hiyo serikali kuzipa taasisi za kikristo ruzuku ni sahihi ihojiwe maana hizo ruzuku zote hazinufaishi raia zinanufaisha watu binafsi wa hizo taasisi za kikristo huku taasisi za kiislam kama Islamic foundation na Alhikma foundation ndio wanaongoza kutoa misaada ya kijamii na wao hawapewi hata shindala ya ruzuku.
Anitajie taasisi ya kikrsto yenye msaada wa kijamii.
Pia hajui kama Tanzania hii zipo hospitali na vituo vya afya vilivyojengwa na vinamilikiwa na waislam.
Anaonekana mtoto kitaarifa.

We zuzu rudi shule elimu dunia huna kichwan ??

unavoongelea uislam ni kama kabila au jamii ya watu.
Uislam n iman mtu anaamua kufuata haina uhusiano na asili ya watu ebu elimika ndio maana kuna wazungu waislam, waarabu wakristo , wairan wakristo na waturuki wa islam


Uislam si kabila au race!!

kichwa maji ww
 
Akili za, kijinga Sana, hizi, Amani IPI hiyo, hao, wasomali wataharibu?
Ujambazi wote unaofanywa na polisi CCM, hauoni?mtwara, waliua kijana kwa sindano ya sumu, Arusha, walimbambikia MTU kesi ya, kuhujumu uchumi, wakapora 70M, kuna wemgine walipora milioni 90,dar mchana kweupe! Hatuhitaji wasomali kuharibu Amani, Amani inaharibiwa na CCM na majambazi, wao,
Wa bongo wa Bantu, acheni wivu,msomali anakuja bongo bila kitu, ana hustle, anaanzisha biashara, hotel, nk,

nenda kwao unang’ang’ania kuwaleta hapa una ardhi hapa tanzania
 
Kama wasomali wenyewe kwa wenyewe lugha, dini, taifa moja wanashindwa kuishi kwa amani
Itawezekana vipi waweze kuishi na jamii nyingine kwa amani
Ile barabara ya Arusha namanga nani asiyejua visanga vya wale wasomali wahuni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili nalo neno.

Tayari wameshajipenyeza kila mahali.Makamu Mwenyekiti CCM ni msomali.Waziri wa Kilimo msomali,Rais wa TFF msomali huko Yanga ndio usiseme lazima hii jamii iliyojaa laana idhibitiwe mapema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii
 
Inakadiliwa wasomali tanzania ni 77,000 mwaka 2007 na kwasasa wanakadiriwa kua 200,000 au zaidi.

Kwa mkakati wa hawa jamaa wakuzaliana sana inakadiliwa Mwanamke mmoja wa kisomali anazaa watoto hata 6 au 7 na huamini kila wanapoenda kuwazidi wenyeji .
Pia ukabila na ubaguzi ni asili yao ukiona kwao wanavokataa huku wakiwapoteza jamii nyingine ambazo si wasomali ili kudai kwamba somalia ni 100% somalis by ethnic utashangaa . Ni wazi baadae tutakuja kupoteza uhuru wetu ni swala la muda kabla ya kuanza kujipenyeza kwene serikali na kushika dola.

Kwa bahati mbaya nchi zetu huwa hazina mtazamo wa miaka 50, au 100 mbele hivo kushituka mpaka iwe too late

UBAGUZI DHIDI YA JAMII NYINGINE

Somali bantu Vs somali

Miaka ya 1999-2000 Baada ya kuanza machafuko walianza kuwa ua wasomali bantu waliozaliwa na kuishi Somalia hata kabla ya mkoloni wakisema kwa kigezo kua waliletwa kipindi cha utumwa. Hata kama waliletwa kipindi cha utumwa na waarabu nchi inavopata uhuru raia wote walionchini wanakua raia.
Lakini ni tofauti kwa hawa watu wana chuki sana na ubaguzi waliendesha kampeni za mauaji au unyanyasaji mpaka tanzania iliamua kuwapokea wasomali bantu au jareer kama wanavowaita wao.

Mfano mzuri wa hawa jamaa ni huu uliotokea 2021 : Yule msomali aliyebeba silaha kwenda kupambana na polisi sasa hii ndio asili yao.Wanaamini katika vita na mtutu

Kenya hapo leo wanajuta na bado Hawajasema.

Inakadiriwa kati ya Bantu somali 1500 walipokelewa na tanzania na kupewa uraia. Na wengine walipewa uraia na kenya.

Pia waweza soma


Bantu somali wengi leo wapo US ambako walipewa hifadhi kwan walikua target ya makundi ya kisomali na kuwanyang’anya ardhi yao yenye rutuba ambayo walikua wanalima.

pia waweza soma


Ikumbukwe kua wasomali wao wengi ni wafugaji na bantu somali wao ni wakulima.
Bantu somali waliishi sana Jubaland ambako ndio walilima na kuzalisha mazao mengi ya chakula.


Uzi huu haufai kumuudhi yeyote waweza bisha kwa takwimu pia itapendeza.View attachment 2871040
Ongezeko linatokana na nchi yao kupoteza utulivu. Sio sawa na jamii za Kihindi au Kichina walio hapa kwa ajili ya fursa za kichumi.

Nadhani hao ndiyo wa kuhofiwa kuliko Wasomali wanaohangaika kusaka pumziko la a Amani. Wanapigania tu roho zao dhidi ya machafuko.

Ova
 
Ongezeko linatokana na nchi yao kupoteza utulivu. Sio sawa na jamii za Kihindi au Kichina walio hapa kwa ajili ya fursa za kichumi.

Nadhani hao ndiyo wa kuhofiwa kuliko Wasomali wanaohangaika kusaka pumziko la a Amani. Wanapigania tu roho zao dhidi ya machafuko.

Ova

Wahindi na wachina wana kwao ni kama wazungu huwa tu kimasilahi na mwisho wa siku huondoka.
Ila usitegemee msomali au muarabu kurudi kwao never
 
We zuzu rudi shule elimu dunia huna kichwan ??

unavoongelea uislam ni kama kabila au jamii ya watu.
Uislam n iman mtu anaamua kufuata haina uhusiano na asili ya watu ebu elimika ndio maana kuna wazungu waislam, waarabu wakristo , wairan wakristo na waturuki wa islam


Uislam si kabila au race!!

kichwa maji ww
Ndo maana nchi zisizocheka na kima kama china wamevunja misikiti na kufanya ofisi za serikali .maana waislamu wanawaza dini kila mahali wakati uislamu sio kabila kama uchaga .muislamu wa dubai hahusiani lolote na muislamu wa ukraine ndo maana unaona hawakupeleka hata misaada .wanapeleka palestine sababu waarabu wenzao sio uislamu
 
Ndo maana nchi zisizocheka na kima kama china wamevunja misikiti na kufanya ofisi za serikali .maana waislamu wanawaza dini kila mahali wakati uislamu sio kabila kama uchaga .muislamu wa dubai hahusiani lolote na muislamu wa ukraine ndo maana unaona hawakupeleka hata misaada .wanapeleka palestine sababu waarabu wenzao sio uislamu

[mention]Kosugi [/mention] hajaona hii post atakuja hapa mbio
 
Huijuwi Tanzania. Waulize Arusha na Moshi, yote ile zamani ilijaa Wasomali na Wahabashi.

Kitu ambacho hukielewi kijana ni historia yako ya ukweli.

Pwani ya Afrika Mashariki, Wasomali ni kwao, wabantu mlikuja tu kutikea nagharibi.

Msijifanye mazayuni sasa kuwa imeshakuwa yenu peke'enu hii nchi.

Unapoisikia "mbarawa" elewa kuwa ndiyo wenye asili yao. Wasomali hao.

Nenda kawaulize wazigua wakueleze.
wewe na mohamed said ndio wadhamin wa makundi haram ya kigaid ya kisomali Tz,siku zenu zinahesabika.
 
wewe na mohamed said ndio wadhamin wa makundi haram ya kigaid ya kisomali Tz,siku zenu zinahesabika.
Duh, tungekuwa mabilionea, maana kama unaijuwa Kariakoo, sasa hivi restaurant nyingi sana za Wasomali, na majengo mengi makubwa makubwa ya Wasomali.
Hao watu huwawezi wewe, wamejaaliwa ujasiri. Neno "warrior" la Kingereza limetokana nao hao, katazame maana yake.
 
Back
Top Bottom