Pendo hao jirani zako mmegombana nini, mbona unawasimamia kidete waondoke kule?.Kwa kweli inapoteq....na jitihada za harakavzinahitajika
Amepewa rushwa na mwarabu wa LoliondoPendo hao jirani zako mmegombana nini, mbona unawasimamia kidete waondoke kule?.
Ila ikitokea wakahamishwa kutoka pale Ngorongoro unadhani waende wapi wakaendeleze mila na desturi ile wengine walioshindwa kuitunza?.
Acheni uongo, kule shimoni kuna mtu anaishi?Mkuu mpaka mabasi yanapishana kila baaada ya masaa kadhaa pia kuna maduka na bar mle, kama mtu amewahi kufika ndiye anaweza kuelezea ila kama unasikia kutoka kwa wanaotoa povu uanweza kudhani wanaonewa.
Mfano baadhi ya wanaosema wasiondolewe au kuwasemea wale jamaa waishio ngorongoro wengi wana ukwasi wa utajiri as majumba ya biashara Arusha mjini, Karatu nk, huku pale ngorongoro ikiwa ni eneo lao la kutunzia mifugo na wakiwaacha ndugu ambao kazi yao kutunza boma na mifugo.
NGORONGORO INAPOTEA, SERIKALI CHUKUENI HATUA MAPEMA.
This is not fair.Imagine yupoyupo tu hakuna cha maana anachofanya tokea aingie Ikulu lakini anataka aombewe!🐒🐒🐒
View attachment 2102424
Mapori mengivsana yenye malisho mazuri kwa mifugo...kuhusu utamaduni wa kimasai kule arusha kila baada ya mita kadhaa kuna maboma ya wana asilia.Pendo hao jirani zako mmegombana nini, mbona unawasimamia kidete waondoke kule?.
Ila ikitokea wakahamishwa kutoka pale Ngorongoro unadhani waende wapi wakaendeleze mila na desturi ile wengine walioshindwa kuitunza?.
Nini Nyumba za Bati Mpaka Magorofa Yapo hapana chezea wamasai KabisaHivi kumbe kuna watu wa kutosha tu mpaka nyumba za bati zipo!!!????
Yaa Kiukweli tumuache Kabisa Mama yetu atuvushe kwenye haya majanga tuliyonayo WaTzThis is not fair.
Tumuache mheshimiwa Rais achape kazi
👆Itakuwa maana yule mwarabu anatumia kila njia kufanikisha azma yake, kuna jamaa wakitaka kuingia wanakuta mbwa mkali wanarudi.Amepewa rushwa na mwarabu wa Loliondo
👆Watu wanaopenda kuwaambia wenzao waongo, sijawahi kuona wakitoa UKWELI ila na wao utoa uongo ila, hapa issue siyo shimoni au wewe unafahamu ngorongoro eneo moja tu kule shimoni, ambako ni eneo dogo sana kulinganisha na uwanda wote wa eneo husika.Acheni uongo, kule shimoni kuna mtu anaishi?
👆Watakwambia huko siyo sehemu yetu ya asili.Mapori mengi sana yenye malisho mazuri kwa mifugo...kuhusu utamaduni wa kimasai kule arusha kila baada ya mita kadhaa kuna maboma ya wana asilia.
Mhifadhi junia msalimie Mwl wangu Mpinga mapokeoOkoa Ngorongoro
Msalimie Mwl Manongi...Mkuu mpaka mabasi yanapishana kila baaada ya masaa kadhaa pia kuna maduka na bar mle, kama mtu amewahi kufika ndiye anaweza kuelezea ila kama unasikia kutoka kwa wanaotoa povu uanweza kudhani wanaonewa.
Mfano baadhi ya wanaosema wasiondolewe au kuwasemea wale jamaa waishio ngorongoro wengi wana ukwasi wa utajiri as majumba ya biashara Arusha mjini, Karatu nk, huku pale ngorongoro ikiwa ni eneo lao la kutunzia mifugo na wakiwaacha ndugu ambao kazi yao kutunza boma na mifugo.
NGORONGORO INAPOTEA, SERIKALI CHUKUENI HATUA MAPEMA.
Porini ni wapi? Sehemu zote unazoziona ni miji leo zilikuwa mapori.yaani huwa sielewi masai wataishi porini hadi lini aisee, hadi wanang'angá nia waishi na wanyamapori. waache akili za kiporipori serikali itume jeshi ikawafukuze maeneo ya mbuga haraka, wakiwalea lea ndio wanazidi kuzaliwana na wanavyooa wake wengi. kuna siku wataomba mbuga yote waibadilishe yawe makazi na kwasababu watakuwa wameshakuwa wengi basi. hivi ccm inapata kura kiasi gani kwa hao, ikiamua kuwapiga chini kura zao zina athari yeyote kwao?
Hivi ww kuna raisi yoyote wa Tzee ushawahi mkubali??? Mana kila sku naona waponda tuImagine yupoyupo tu hakuna cha maana anachofanya tokea aingie Ikulu lakini anataka aombewe![emoji205][emoji205][emoji205]
View attachment 2102424
Kwa hiyo Wamasai wote ni omba omba kama unavyojenga picha hapo? Acha hasira. Hazikusaidii. Maisha bila NCA yanawezekana. Wewe unafanya nini kwenye makambi? Au unabeba mizigo ya wazungu?Wamasai waone aibu waondoke humo...kitu kinawafanya wawe wakali hawataki kutoka huko ni kwasababu ya msaada wa mahindi wanaopewaga na hifadhi. Wake zao na watoto wamekuwa ombaomba kwenye camp mbalimbali, wanapewa viporo vya juzi wanakula vyabaridi.. Katika moja ya makabila ya hovyo Tanzania Masai wapo top 3
Bora nibebe mizigo nilipwe dola lakin nisiombe. Wanaume wa kimasai wapo hovyo sana, maana wanajua kuzaa tu lakin hawatunzi wake zao wala watoto. Wanasababisha wake zao wanaliwa hovyo kwenye makambi,na watoto wao wanakuwa ombaombaKwa hiyo Wamasai wote ni omba omba kama unavyojenga picha hapo? Acha hasira. Hazikusaidii. Maisha bila NCA yanawezekana. Wewe unafanya nini kwenye makambi? Au unabeba mizigo ya wazungu?
Tokeni kwenye hifadhi mkapambane huko kama watu wengine...sio kutafuta huruma ya watu hapaNa Wamasai kupewa mahindi na NCA ni makubaliano kutokana na kutoruhusiwa kulima. Sio omba omba. Kama omba omba masai wapo, basi ni kama tu walivyo katika jamii zingine.
Mbona Wamasai wa Mswakini na Minjingu waliopakana na Mbuga za Wanyama za Tarangire na Ziwa Manyara hawapewi mahindi na bado wanaendesha maisha yao.