TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Pendo hao jirani zako mmegombana nini, mbona unawasimamia kidete waondoke kule?.Kwa kweli inapoteq....na jitihada za harakavzinahitajika
Ila ikitokea wakahamishwa kutoka pale Ngorongoro unadhani waende wapi wakaendeleze mila na desturi ile wengine walioshindwa kuitunza?.