Ongezeko la watu hifadhi ya Ngorongoro kuleta madhara makubwa kwa wakazi asilia na uhifadhi

Ongezeko la watu hifadhi ya Ngorongoro kuleta madhara makubwa kwa wakazi asilia na uhifadhi

Kwa kweli inapoteq....na jitihada za harakavzinahitajika
Pendo hao jirani zako mmegombana nini, mbona unawasimamia kidete waondoke kule?.
Ila ikitokea wakahamishwa kutoka pale Ngorongoro unadhani waende wapi wakaendeleze mila na desturi ile wengine walioshindwa kuitunza?.
 
Mwarabu kule Loliondo kawapa rushwa hamuandiki chochote mpo kimya mmekomaa na Ngorogoro pekee
 
Pendo hao jirani zako mmegombana nini, mbona unawasimamia kidete waondoke kule?.
Ila ikitokea wakahamishwa kutoka pale Ngorongoro unadhani waende wapi wakaendeleze mila na desturi ile wengine walioshindwa kuitunza?.
Amepewa rushwa na mwarabu wa Loliondo
 
Mkuu mpaka mabasi yanapishana kila baaada ya masaa kadhaa pia kuna maduka na bar mle, kama mtu amewahi kufika ndiye anaweza kuelezea ila kama unasikia kutoka kwa wanaotoa povu uanweza kudhani wanaonewa.

Mfano baadhi ya wanaosema wasiondolewe au kuwasemea wale jamaa waishio ngorongoro wengi wana ukwasi wa utajiri as majumba ya biashara Arusha mjini, Karatu nk, huku pale ngorongoro ikiwa ni eneo lao la kutunzia mifugo na wakiwaacha ndugu ambao kazi yao kutunza boma na mifugo.

NGORONGORO INAPOTEA, SERIKALI CHUKUENI HATUA MAPEMA.
Acheni uongo, kule shimoni kuna mtu anaishi?
 
Mapori mengivsana yenye malisho mazuri kwa mifugo...kuhusu utamaduni wa kimasai kule arusha kila baada ya mita kadhaa kuna maboma ya wana asilia.
 
Amepewa rushwa na mwarabu wa Loliondo
👆Itakuwa maana yule mwarabu anatumia kila njia kufanikisha azma yake, kuna jamaa wakitaka kuingia wanakuta mbwa mkali wanarudi.
Acheni uongo, kule shimoni kuna mtu anaishi?
👆Watu wanaopenda kuwaambia wenzao waongo, sijawahi kuona wakitoa UKWELI ila na wao utoa uongo ila, hapa issue siyo shimoni au wewe unafahamu ngorongoro eneo moja tu kule shimoni, ambako ni eneo dogo sana kulinganisha na uwanda wote wa eneo husika.

Mapori mengi sana yenye malisho mazuri kwa mifugo...kuhusu utamaduni wa kimasai kule arusha kila baada ya mita kadhaa kuna maboma ya wana asilia.
👆Watakwambia huko siyo sehemu yetu ya asili.

Na haya maboma ya mjini siku hizi wameyafanya nyumba za wageni na wengine wamepangisha ndimo tunaishi na tunawalipa kila mwezi shs 45,000. Wamasai wa mjini siyo wale tuliokuwa tunawafahamu, hawa wa siku hizi wanakula samaki kwa ugali, asubuhi maharagwe, chapati kwa chai ya rangi na mchana chipi kwa yai la mchina ahahahaaa!.
 
Mkuu mpaka mabasi yanapishana kila baaada ya masaa kadhaa pia kuna maduka na bar mle, kama mtu amewahi kufika ndiye anaweza kuelezea ila kama unasikia kutoka kwa wanaotoa povu uanweza kudhani wanaonewa.

Mfano baadhi ya wanaosema wasiondolewe au kuwasemea wale jamaa waishio ngorongoro wengi wana ukwasi wa utajiri as majumba ya biashara Arusha mjini, Karatu nk, huku pale ngorongoro ikiwa ni eneo lao la kutunzia mifugo na wakiwaacha ndugu ambao kazi yao kutunza boma na mifugo.

NGORONGORO INAPOTEA, SERIKALI CHUKUENI HATUA MAPEMA.
Msalimie Mwl Manongi...
 
yaani huwa sielewi masai wataishi porini hadi lini aisee, hadi wanang'angá nia waishi na wanyamapori. waache akili za kiporipori serikali itume jeshi ikawafukuze maeneo ya mbuga haraka, wakiwalea lea ndio wanazidi kuzaliwana na wanavyooa wake wengi. kuna siku wataomba mbuga yote waibadilishe yawe makazi na kwasababu watakuwa wameshakuwa wengi basi. hivi ccm inapata kura kiasi gani kwa hao, ikiamua kuwapiga chini kura zao zina athari yeyote kwao?
Porini ni wapi? Sehemu zote unazoziona ni miji leo zilikuwa mapori.
Wamasai wa Ngorongoro waliona hapo ndipo panapowafaa miaka 300 iliyopita.
Sio unaibuka umezaliwa jana, unakuja kuongea mavi hapa.
Na serikali haiwezi kufanya maamuzi kikoloni hapo.
Wamaasai wa Ngorongoro waliona pale panawafaa kama ambavyo Wachagga waliona miteremko ya mlima Kilimanjaro panawafaa, Wakeree walivyoona pale kisiwani panawafaa.
Hifadhi ndio imewafuta wamaasai. Wamaasai hawajafuata hifadhi.
 
Wamasai waone aibu waondoke humo...kitu kinawafanya wawe wakali hawataki kutoka huko ni kwasababu ya msaada wa mahindi wanaopewaga na hifadhi. Wake zao na watoto wamekuwa ombaomba kwenye camp mbalimbali, wanapewa viporo vya juzi wanakula vyabaridi.. Katika moja ya makabila ya hovyo Tanzania Masai wapo top 3
 
Kwa hiyo Wamasai wote ni omba omba kama unavyojenga picha hapo? Acha hasira. Hazikusaidii. Maisha bila NCA yanawezekana. Wewe unafanya nini kwenye makambi? Au unabeba mizigo ya wazungu?
 
Mnaongea kama vile maisha bila NCA haiwezekani. Nendeni mkalime huko kwenu. Acheni kutegemea posho za kubeba mizigo ya wazungu na ukalimani feki.
 
Na Wamasai kupewa mahindi na NCA ni makubaliano kutokana na kutoruhusiwa kulima. Sio omba omba. Kama omba omba masai wapo, basi ni kama tu walivyo katika jamii zingine.
Mbona Wamasai wa Mswakini na Minjingu waliopakana na Mbuga za Wanyama za Tarangire na Ziwa Manyara hawapewi mahindi na bado wanaendesha maisha yao.
 
Kwa hiyo Wamasai wote ni omba omba kama unavyojenga picha hapo? Acha hasira. Hazikusaidii. Maisha bila NCA yanawezekana. Wewe unafanya nini kwenye makambi? Au unabeba mizigo ya wazungu?
Bora nibebe mizigo nilipwe dola lakin nisiombe. Wanaume wa kimasai wapo hovyo sana, maana wanajua kuzaa tu lakin hawatunzi wake zao wala watoto. Wanasababisha wake zao wanaliwa hovyo kwenye makambi,na watoto wao wanakuwa ombaomba
 
Na Wamasai kupewa mahindi na NCA ni makubaliano kutokana na kutoruhusiwa kulima. Sio omba omba. Kama omba omba masai wapo, basi ni kama tu walivyo katika jamii zingine.
Mbona Wamasai wa Mswakini na Minjingu waliopakana na Mbuga za Wanyama za Tarangire na Ziwa Manyara hawapewi mahindi na bado wanaendesha maisha yao.
Tokeni kwenye hifadhi mkapambane huko kama watu wengine...sio kutafuta huruma ya watu hapa
 
Back
Top Bottom