👆Itakuwa maana yule mwarabu anatumia kila njia kufanikisha azma yake, kuna jamaa wakitaka kuingia wanakuta mbwa mkali wanarudi.
👆Watu wanaopenda kuwaambia wenzao waongo, sijawahi kuona wakitoa UKWELI ila na wao utoa uongo ila, hapa issue siyo shimoni au wewe unafahamu ngorongoro eneo moja tu kule shimoni, ambako ni eneo dogo sana kulinganisha na uwanda wote wa eneo husika.
👆Watakwambia huko siyo sehemu yetu ya asili.
Na haya maboma ya mjini siku hizi wameyafanya nyumba za wageni na wengine wamepangisha ndimo tunaishi na tunawalipa kila mwezi shs 45,000. Wamasai wa mjini siyo wale tuliokuwa tunawafahamu, hawa wa siku hizi wanakula samaki kwa ugali, asubuhi maharagwe, chapati kwa chai ya rangi na mchana chipi kwa yai la mchina ahahahaaa!.