Ongezeko la watu hifadhi ya Ngorongoro kuleta madhara makubwa kwa wakazi asilia na uhifadhi

Ongezeko la watu hifadhi ya Ngorongoro kuleta madhara makubwa kwa wakazi asilia na uhifadhi

Tokeni kwenye hifadhi mkapambane huko kama watu wengine...sio kutafuta huruma ya watu hapa
Hifadhi ilianzishwa Wamasai wakiwa pale pale Ngorongoro na wengine kuletwa kutoka Serengeti. Hapo ndipo eneo letu la kupambana. Tulipo hapo tunapambana kimaisha yani. Ni eneo letu la urithi. Hatuondoki.
 
Bora nibebe mizigo nilipwe dola lakin nisiombe. Wanaume wa kimasai wapo hovyo sana, maana wanajua kuzaa tu lakin hawatunzi wake zao wala watoto. Wanasababisha wake zao wanaliwa hovyo kwenye makambi,na watoto wao wanakuwa ombaomba
Ukawe kuli kwenye malori. Acha kubeba mizigo ya wanaume wenzako. Mna makasiriko ya njaa zenu lkn hatuondoki.
Mnataka mkoa mzima uwe mahifadhi tu? Vizazi vyetu viishi wapi wajinga nyie?
 
Sio Ngorongoro tu, Tanzania yote
 
Na Wamasai kupewa mahindi na NCA ni makubaliano kutokana na kutoruhusiwa kulima. Sio omba omba. Kama omba omba masai wapo, basi ni kama tu walivyo katika jamii zingine.
Mbona Wamasai wa Mswakini na Minjingu waliopakana na Mbuga za Wanyama za Tarangire na Ziwa Manyara hawapewi mahindi na bado wanaendesha maisha yao.
Tokeni kwenye hifadhi mkapambane huko kama watu wengine...sio kutafuta huruma ya watu hapa
Hifadhi ilianzishwa Wamasai wakiwa pale pale Ngorongoro na wengine kuletwa kutoka Serengeti. Hapo ndipo eneo letu la kupambana. Tulipo hapo tunapambana kimaisha yani. Ni eneo letu la urithi. Hatuondoki.
Hata wakurya na waikoma walikuwa ndani ya Serengeti na wakatolewa. It's a matter of time..
 
Ukawe kuli kwenye malori. Acha kubeba mizigo ya wanaume wenzako. Mna makasiriko ya njaa zenu lkn hatuondoki.
Mnataka mkoa mzima uwe mahifadhi tu? Vizazi vyetu viishi wapi wajinga nyie?
Tanzania ni kubwa..kila mahali kuna mapori, acheni kung'ang'ania kuishi maisha ya kuomba omba na mahindi ya msaada. Ngorongoro ni kwaajili ya wanyama sio ombaomba wa kimasai
 
👆Itakuwa maana yule mwarabu anatumia kila njia kufanikisha azma yake, kuna jamaa wakitaka kuingia wanakuta mbwa mkali wanarudi.

👆Watu wanaopenda kuwaambia wenzao waongo, sijawahi kuona wakitoa UKWELI ila na wao utoa uongo ila, hapa issue siyo shimoni au wewe unafahamu ngorongoro eneo moja tu kule shimoni, ambako ni eneo dogo sana kulinganisha na uwanda wote wa eneo husika.

👆Watakwambia huko siyo sehemu yetu ya asili.

Na haya maboma ya mjini siku hizi wameyafanya nyumba za wageni na wengine wamepangisha ndimo tunaishi na tunawalipa kila mwezi shs 45,000. Wamasai wa mjini siyo wale tuliokuwa tunawafahamu, hawa wa siku hizi wanakula samaki kwa ugali, asubuhi maharagwe, chapati kwa chai ya rangi na mchana chipi kwa yai la mchina ahahahaaa!.
Ngorongoro ni kubwa sn na wala siyo kwamba imejaa mifungo ya wamasai siyo kweli hata kdg
 
Tanzania ni kubwa..kila mahali kuna mapori, acheni kung'ang'ania kuishi maisha ya kuomba omba na mahindi ya msaada. Ngorongoro ni kwaajili ya wanyama sio ombaomba wa kimasai
We kula hela ya watu uendelee kuropoka kama mashine. Njaa zako ndio zinakufanya uongee hivyo.
Sisi tunapambania eneo letu la urithi na sio matumbo kama wewe.
Mahindi ya msaada hatujawaomba.
Ulikuwa ni mpango wa kudiscourage kulima toka ilipokatazwa 2009.
Hujui lolote, unaropoka kama mashine baada ya kulipwa hela ya kula. Na wewe hauna tofauti na omba omba. In short ni omba omba wa rangi tofauti tu.
 
Na ukiona wivu watu wakiomba maanake na wewe ni omba omba.
 
Hii nchi imepata uhuru wakati kila jamii wakiwa katika eneo lao la asili. Hakuna jamii iliyopewa eneo na serikali. NCA imeanzishwa wamasai wakiwa ndani.
Babu zetu waliona pale ndio panawafaa kwa shughuli yao ya ufugaji.
Acheni kuleta mahindi yenu. Wa kufa wafe, wa kubaki wabaki lkn hatuondoki kwenye eneo letu la urithi.
 
We kula hela ya watu uendelee kuropoka kama mashine. Njaa zako ndio zinakufanya uongee hivyo.
Sisi tunapambania eneo letu la urithi na sio matumbo kama wewe.
Mahindi ya msaada hatujawaomba.
Ulikuwa ni mpango wa kudiscourage kulima toka ilipokatazwa 2009.
Hujui lolote, unaropoka kama mashine baada ya kulipwa hela ya kula. Na wewe hauna tofauti na omba omba. In short ni omba omba wa rangi tofauti tu.
Nyie ni wavamizi tu, asili ya masai ni huko Sudan kusini, sio ngorongoro. Acha kupotosha. Hamna urithi wowote pale. Wavamizi tu
 
Nyie ni wavamizi tu, asili ya masai ni huko Sudan kusini, sio ngorongoro. Acha kupotosha. Hamna urithi wowote pale. Wavamizi tu
Ndio akili yako ikipofikia. Hujui lolote. Nikuelelimishe kidogo tu kwamba utaifa unaanza siku taifa lilipopata uhuru na kudefine mipaka yake. Mjinga wewe. Ndivyo mnavyojidanganya?
 
Mkuu mpaka mabasi yanapishana kila baaada ya masaa kadhaa pia kuna maduka na bar mle, kama mtu amewahi kufika ndiye anaweza kuelezea ila kama unasikia kutoka kwa wanaotoa povu uanweza kudhani wanaonewa.

Mfano baadhi ya wanaosema wasiondolewe au kuwasemea wale jamaa waishio ngorongoro wengi wana ukwasi wa utajiri as majumba ya biashara Arusha mjini, Karatu nk, huku pale ngorongoro ikiwa ni eneo lao la kutunzia mifugo na wakiwaacha ndugu ambao kazi yao kutunza boma na mifugo.

NGORONGORO INAPOTEA, SERIKALI CHUKUENI HATUA MAPEMA.
Dah!... serikali zetu hizi huwa zinalal la mno....hivi mpaka watu wanavamia huko kinyemela wao walikuwa wapi?....mpaka wadau wapige kelele ndio wao washtuke tena huku wakichechemea.

Wa-Afrika bhana....
 
Hawa ndo wanyonge. Hiyo mbuga ina mchango mkubwa kwenye pato la taifa wanaiharibu na tozo hawatataka kulipa.

Tuwalinde sana wafanyabiashara na wawekezaji.
 
Gazeti limebainisha kuwa siku za nyuma zaidi kaya 110 ziliwahi kuhamishwa kwa hiyari kupelekwa katika kijiji kipya cha JEMA ambapo waliwekewa miundombinu yote muhimu.
Kama kuna ambao walishahamishwa hili ongezeko la Sasa la watu limetoka wapi?.....au hawa ni wavamizi?

...Au ukame pia umechangia hii kasi ya uvamizi?....kwani hakuna mapori mengine ya akiba yanayofaa kwa kuchunga?....hata kama yapo mbali na makazi yao bado hii sababu haitoshi kuhalalisha uvamizi.
 
Porini ni wapi? Sehemu zote unazoziona ni miji leo zilikuwa mapori.
Wamasai wa Ngorongoro waliona hapo ndipo panapowafaa miaka 300 iliyopita.
Sio unaibuka umezaliwa jana, unakuja kuongea mavi hapa.
Na serikali haiwezi kufanya maamuzi kikoloni hapo.
Wamaasai wa Ngorongoro waliona pale panawafaa kama ambavyo Wachagga waliona miteremko ya mlima Kilimanjaro panawafaa, Wakeree walivyoona pale kisiwani panawafaa.
Hifadhi ndio imewafuta wamaasai. Wamaasai hawajafuata hifadhi.
basi wapelekee taarifa kwamba ardhi sio mali yao, nimali ya serikali and after all kwa ngorongoro, ile ngorongoro imekuwepo hata kabla ya uvamizi wa wamasai, wamezaliana wakaanza kuishi pamoja na wanyama tukaona vivutio, ndio maana wameachwa hadi leo ila walitakiwa wachapwe viboko vya kutosha kwa kuvamia mbuga. serikali iwafukuze kinguvu tuone wanaenda kudai haki hiyo wapi kwasababu mahakamani hawana sababu ya msingi ndo maana hawatashinda lolote. nilikuwa siamini kama baadhi ya watu hata ukiwasomesha bado akili zao zitabaki porini. hadi wasomi kabisa wanafanya kampeni ati aendelee kuishi kwenye mbuga?
 
Hao watu huko mbugani nani anawajengea barabara, umeme, zahanati, maji n.k.
Aliyewawekea hizo huduma ndio wakulaumiwa.
 
basi wapelekee taarifa kwamba ardhi sio mali yao, nimali ya serikali and after all kwa ngorongoro, ile ngorongoro imekuwepo hata kabla ya uvamizi wa wamasai, wamezaliana wakaanza kuishi pamoja na wanyama tukaona vivutio, ndio maana wameachwa hadi leo ila walitakiwa wachapwe viboko vya kutosha kwa kuvamia mbuga. serikali iwafukuze kinguvu tuone wanaenda kudai haki hiyo wapi kwasababu mahakamani hawana sababu ya msingi ndo maana hawatashinda lolote. nilikuwa siamini kama baadhi ya watu hata ukiwasomesha bado akili zao zitabaki porini. hadi wasomi kabisa wanafanya kampeni ati aendelee kuishi kwenye mbuga?
Taifa ni watu. Kuweni wabunifu. Achananeni na sisi. Sisi tunafurahia kukaa huko. Haiwahusu. Mkatafute hela kwingine.
 
Jaribuni kutufukuza muone kama tuna sababu ya msingi au hatuna.
Halafu mnaoshabikia sisi kuondolewa mtakuwa majangili.
 
Taifa ni watu. Kuweni wabunifu. Achananeni na sisi. Sisi tunafurahia kukaa huko. Haiwahusu. Mkatafute hela kwingine.
taifa ni watu na watu sio ninyi tu, watu wachache kama ninyi hamuwezi kufanya tulio wengi tupate hasara ya mbuga kwasababu ya mifugo yenu. kwanza elimikeni mfuge kisasa, mtaishi kiporipori hadi lini?dunia inabadilika.
 
Back
Top Bottom