Growing Social media motivations...Hili ongezeko kubwa la mbio za marathons na watu wengi zaidi wakiongezeka kushiriki hizo marathon kumechochewa na nini? Kuna siri gani huko kwenye marathons
Kuna faida gani kubwa hasa katika hizo marathons hadi kuvutia watu kutoka sehemu za mbali kabisa kusafiri kwenda kushiriki kutoka mkoa mmoja hadi mwingine?
Naunga mkono hoja hii, jamaa wanapigana pipe mwanzo mwenga mazeeumalaya tu
kumbe, hukuchukua namba mkuu?Nilishiriki moja hapo Moshi nikakutana na wadada hata kukimbia hawawezi na wametoka Dsm kuja Moshi kwaajili ya kukimbia nilichoona sana sana wamekuja kuonyesha mapaja tu na kugawa namba hovyo kutafuta mabwana
Sikuchukuakumbe, hukuchukua namba mkuu?
Uko sahihi sana ππππMagonjwa yasiyoambukizika yamekuwa mengi,mazoezi ni moja ya kinga..na huwezi kufanya mazoezi serious ukiwa peke yako
Simplisticumalaya tu
GTGrowing Social media motivations...
Its a good thing
boraSikuchukua
Ni mawazo ya watu negative. On the other side NBC wanakusanya 500m wanachangia matibabu ya Kansas ya shingo ya kizazi. CRDB wanatoa 500m kutibu watoto taasisi ya moyo. Watu hawaoni haya wanaona umalaya tu. Kimtokacho mtu ndio kiko ndani yake.Ndo maana nawashangaa wanaosema umalaya.
Mm na kugonga kote wiki 1 kabla ya marathon sigongi kabisa, unapoteza stamina.
Marathon zipo lwa ajili ya kuconnect, kubadili mawazo, kujua vitu zaidi....