Ongezeko la watu kuhuhudhuria marathons imechochewa na nini?

Ongezeko la watu kuhuhudhuria marathons imechochewa na nini?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Hili ongezeko kubwa la mbio za marathons na watu wengi zaidi wakiongezeka kushiriki hizo marathon kumechochewa na nini? Kuna siri gani huko kwenye marathons

Kuna faida gani kubwa hasa katika hizo marathons hadi kuvutia watu kutoka sehemu za mbali kabisa kusafiri kwenda kushiriki kutoka mkoa mmoja hadi mwingine?
 
Growing Social media motivations...

Its a good thing
 
Nilishiriki moja hapo Moshi nikakutana na wadada hata kukimbia hawawezi na wametoka Dsm kuja Moshi kwaajili ya kukimbia nilichoona sana sana wamekuja kuonyesha mapaja tu na kugawa namba hovyo kutafuta mabwana
 
Ndo maana nawashangaa wanaosema umalaya.

Mm na kugonga kote wiki 1 kabla ya marathon sigongi kabisa, unapoteza stamina.

Marathon zipo lwa ajili ya kuconnect, kubadili mawazo, kujua vitu zaidi....
Ni mawazo ya watu negative. On the other side NBC wanakusanya 500m wanachangia matibabu ya Kansas ya shingo ya kizazi. CRDB wanatoa 500m kutibu watoto taasisi ya moyo. Watu hawaoni haya wanaona umalaya tu. Kimtokacho mtu ndio kiko ndani yake.
 
Back
Top Bottom