Ongezeko Vituo vya DIALYSIS

Duuuh
 
Umefanya Jambo jema
 
*Matumizi makubwa ya pombe kali, zenye viwango duni.

*Matumizi makubwa ya madawa ya hospitali(kidonge kimoja daily), mwisho wake ni figo kufeli tu.

*Matumizi ya dawa za asili zisizo na viwango.

*Vyakula vyenye kemikali...

Tumekwisha!!
 
We jamaa upo kamji gani kenye vituo vya mafuta vichache hivyo hadi ufananishe na vituo vya dialysis?
Anyway nakufahamisha kuwa barabara ya Goba inavituo vya mafuta 25 tokea mbezi luis hadi pale Mbezi shule njiapanda ya bagamoyo road( massana hospital)
 
Hii ni huduma muhimu ya afya ambayo ilikua haipatikani kirahisi. Kwa hiyo tufurahie zikiongezeka sababu na gharama zitapungua.
Kwa kifupi ni maendeleo katika sekta ya afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…