maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Ulimbukeni wa kufikiri unywaji wa bia na kula nyama ni utajiriHakuna wa kumlisha mtu sumu, mfumo wetu mbovu. Unakuta mtu anashindia bia badala ya maji, anakula nyama nyama badala ya veggie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulimbukeni wa kufikiri unywaji wa bia na kula nyama ni utajiriHakuna wa kumlisha mtu sumu, mfumo wetu mbovu. Unakuta mtu anashindia bia badala ya maji, anakula nyama nyama badala ya veggie
DuuuhHivi karibuni kumekua na ongezeko la vituo vya DIALYSIS hususani miji mikubwa nchini. Mfano Dar es Salaam, Arusha, Mwanza na Dodoma. Hii maana yake nn? Wizara stukeni Wizara ya Afya Tanzania
**Usikute watu wanalishwa sumu kupitia dawa na pombe feki makusudi, ili wahuni wapige hela.
NB: Dialysis center vinachuana na Petrol/fuel stations Kwa idadi
Umefanya Jambo jemaBinafsi nimeamua kuachana na tungi baada ya kuanza kuona dalili hatarishi miguu kuwaka moto, kukojoa ovyo usiku, moyo kuuma, maumivu maeno ya figo, pressure kuanza kupanda....!!! Toka nimestop kutumia naona hz dalili zianza kupotea !!!
Najua kuacha ni ngumu ila nmeamua kupambana nisuguse kitu kinaitwa pombe tena
Na smart Gin yaan vijana na mabinti wana haribika balaaDuh hatari sana uzagaaji wa visungura unaongeza wateja
Hii pia naijua,Matumizi ya dawa kwa muda mrefu mfano ARVs husababisha figo kufeli
Dialysis ndo vinini smart??
Matibabu ya wenye matatizo ya figo... Wanaenda kusafishwa au kuchujwa sumu...Dialysis ndo vinini smart??
Kumbe uwiii 🙌🙌🙌!Matibabu ya wenye matatizo ya figo... Wanaenda kusafishwa au kuchujwa sumu...
AiseeDr janabi akiwaambia humu mambo muhimu kuhusu kulinda Figo mnamponda.....wagonjwa wa Figo wengi na asilimia kubwa wanatokana na mtindo wa maisha mbovu na ulevi Hilo halina ubishi....
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app