Ongezeko Vituo vya DIALYSIS

Ongezeko Vituo vya DIALYSIS

Hivi karibuni kumekua na ongezeko la vituo vya DIALYSIS hususani miji mikubwa nchini. Mfano Dar es Salaam, Arusha, Mwanza na Dodoma. Hii maana yake nn? Wizara stukeni Wizara ya Afya Tanzania

**Usikute watu wanalishwa sumu kupitia dawa na pombe feki makusudi, ili wahuni wapige hela.

NB: Dialysis center vinachuana na Petrol/fuel stations Kwa idadi
Duuuh
 
Binafsi nimeamua kuachana na tungi baada ya kuanza kuona dalili hatarishi miguu kuwaka moto, kukojoa ovyo usiku, moyo kuuma, maumivu maeno ya figo, pressure kuanza kupanda....!!! Toka nimestop kutumia naona hz dalili zianza kupotea !!!

Najua kuacha ni ngumu ila nmeamua kupambana nisuguse kitu kinaitwa pombe tena
Umefanya Jambo jema
 
*Matumizi makubwa ya pombe kali, zenye viwango duni.

*Matumizi makubwa ya madawa ya hospitali(kidonge kimoja daily), mwisho wake ni figo kufeli tu.

*Matumizi ya dawa za asili zisizo na viwango.

*Vyakula vyenye kemikali...

Tumekwisha!!
 
We jamaa upo kamji gani kenye vituo vya mafuta vichache hivyo hadi ufananishe na vituo vya dialysis?
Anyway nakufahamisha kuwa barabara ya Goba inavituo vya mafuta 25 tokea mbezi luis hadi pale Mbezi shule njiapanda ya bagamoyo road( massana hospital)
 
Hii ni huduma muhimu ya afya ambayo ilikua haipatikani kirahisi. Kwa hiyo tufurahie zikiongezeka sababu na gharama zitapungua.
Kwa kifupi ni maendeleo katika sekta ya afya
 
Back
Top Bottom