kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
niko poa sana...niliamua kukaa kando na jf kwa mda...otherwise i'm fine.Happy New Year to u too my brother! Umepotea sana siku nyingi hauonekani humu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niko poa sana...niliamua kukaa kando na jf kwa mda...otherwise i'm fine.Happy New Year to u too my brother! Umepotea sana siku nyingi hauonekani humu?
Poa sana! Sisi pia huku Kenya tupo vyema, Mola katujalia kuona mwaka huu mpya.niko poa sana...niliamua kukaa kando na jf kwa mda...otherwise i'm fine.
Uzi zinajaa matope hata inaudhi kwamba pia uchangie kwa mambo kama haya! Siju kwanini Skyscrapercity kuna nidhamu thread ya Kenya na hii imekosa! Nairaland ina upuzi lakini huu wa jamii umezidi!Annael na Depay tafadhali acheni arguments za kipumbavu. Stick to projects and facts. Not these silly side-shows.
![]()
I'm just thinking on how I can start to spoil this thread...
Depay girl,I know you don't like me be here...tell your colleagues that the BIG fimbo boy from tz is around the corner. i'm watching you from a close range distance...behave well.
hahaha hate speech bro!kalenjins wametuharibia jina sana...the whole world thinks kenyans are black like makaa....well that is just one tribe and they know them because they are world famous runners....but wasee sio weusi excess huku joo...the other day nairaland tulitusiwa black mambas na nigerians sai naona watz pia wameanza....can be wrong
Lovely project, the day Kenya gets rid of these place, all the negatives about Nairobi will have gone as Kibera paints Nairobi negatively! But i saw some people turning it into a tourist attraction! Is it acceptable?Kibera Slums Upgrading project
(Its a pity, stalled for a while by too much politicking, but it is still an ongoing project)
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Fuatilia thread yote uone nani aliyeanzisha ugomvi? Sisi tulikuwa kimya mara mkaaza kututukana kwenye thread hii mliyoanzisha nyie. Kwani umeona kwenye thread niyoanzisha nimetaja wakenya?Ni nini hizi sasa mnapost kwa thread wesee? Mnabore sasa.
Wakenya, acheni kuencourage the trolls and lets stick to posting the pictures. We surely, mustnt have to respond to every insult meted out at us by some of these Tanzanians. Ati the whole two (yaani 2) pages full of matusis and deformed faces, and not a single intended photos......we are better than his mehn!
Annael, komesha hizo manze. Sidhani kuna mkenya alifululiza kwenye lile thread yako kuweka upuzi hizi kama unavyofanya humu. Nafkiri dhamira ya nyuzi hizi ni kuonyesha jinsi miji hizi zetu zinavyoendelea kukua, na sikatai ni mashindani kati ya Tanzania na Kenya, but cant we just be a little sensible in this?
We jamaa kumbe kilaza ivi....Kenya mnatisha mpo vizuri sana, sisi huku raisi wetu anasema hata nyumba za wahanga wa tetemeko la ardhi serikali haiwezi kujenga. Huku kwetu raisi anasema kila mtu ale jasho lake, tuliahidiwa mji wa kigamboni kuwa kisasa zaidi lakini hadi leo wameishia kupima viwanja tu...
Hahaa mama mkenya baba mtanzania huyoWewe sio mtanzania. Kiswahili chako tu kimeonesha.
Uoga nayo...basi kwa kuwa mnaniogopa sitasema neno.naamua kuwa mtazamaji.You need to grow up and stop your high school sugar rush over here! You don't have to always behave such uncivilized! I think you are the reason some people may close down their accounts on JF! Don't think your posts are any accolade to all including your Bongo brazas! Just a disappointment!
Counterpunch limewapata kweli kweli imeishia kutukana. Ukweli pale pale , Kenya ipo level nyengeni kabisa siyo ya kushindana na Tanzania.Unadinywa ww fala hujui kitu unwchotype
Waambie ndugu zako na wewe mlipe mikopo mliokopeshwa kwanza ndio wengine nao watakopeshwa,Watz tushazoe kubebwa sana acha tuisome nambahahahahaha Kiswahili sio changu, Kiswahili ni lugha yangu ya taifa. Endelea kuota kuwa ipo siku mtaipita Kenya kwa style ya uongozi mbovu mlionao. Mtaishia kununua bombadia za mabilion huku wanafunzi wa vyuo wanakosa mikopo na hospitali hazina madawa.
Annael andoa Shaka mkuu,kuwa huru kujadiliana nao.Fuatilia thread yote uone nani aliyeanzisha ugomvi? Sisi tulikuwa kimya mara mkaaza kututukana kwenye thread hii mliyoanzisha nyie. Kwani umeona kwenye thread niyoanzisha nimetaja wakenya?
Nyie hamuwezi kuanzisha thread tu mpaka mtuchokoze? Sasa baada ya kuwazidi mnaanza kulia lia. Waambie wakenya wenzio wawe wastaarabu.
Ardhi ya kenya 50% ni ukoo wa watu flan!Big country yetu sio ya kwenu. Nyie bakini na jangwa huko mmelaaniwa. Tanzania ni nchi takatifu. Mnatoa mimacho mtadhani hii nchi yenu. Tunailinda kwa ajili ya vizazi vijavyo. Nyie hamna ardhi sehemu kubwa ni jangwa kwa sababu ya laana.
nyengeni = nyingine.Counterpunch limewapata kweli kweli imeishia kutukana. Ukweli pale pale , Kenya ipo level nyengeni kabisa siyo ya kushindana na Tanzania.