Ongoing projects in Nairobi, Kenya E.A ( Counterpunch)

391a88abcf55f704b3e877a29b12aeec.jpg
 
Ukishindwa kuandika kwa kiswahili
Tumia kikuyu au kijaluo tu!!!

Hujapitia vizuri kule
Unapo sema hakuna mkenya aliye Chokoza watanzania kule ujue umekurupuka.

Watanzania wasipo ingia humu Hakuna jipya
Thread itadoda.
Ndio maana forums zakenya zipo fofofo
Full usingizini thread ya mwaka 2012 ina Reply 13!!!

Sifa ya Jf nikuchangia kokote upendapo na kuanzisha mada kokote upendapo.

Tatizo lenu wakenya mmejawa ujinga na ulimbukeni,
Hamuwezi kumaliza mada yenu humu bila kuleta Kejeli na porojo kwa Watanzania.
Mada zenu maranyingi huwa na malengo ya sifa,dharau,kejeli na vijembe.

ukibip unapigiwa
Tatizo watz mko watz mko Na interiority complex kwa Kenya, ndio maana siku zote mnalalamika kudharauliwa Na wakenya...
Mimi Mara nyengine hupitia kule upande wa mambo ya tz, Na Mara nyengine huona comment za madharau Na kejeli kwa wakenya, lakini hua napita Tu bila kujali, mi hu scan thru hizo mada ili kujielimisha alafu natoka, bila hard feelings, nasahau matusi yoyote nilio yasoma.

Eti watanzania wasipoingia huku hakuna jipya, hebu jiulize kwanini watanzania hujazana humu? Mbona wakenya hawajazani Ile side nyengine ya habari za watz? Hata muanzishe mada gani ya kutukana wakenya ule upande mwengine hatutojazana ng'o, jiulize kwa nini...
Alafu upitie forum moja ya kikenya hapa News & Politics

Alafu ebu nikuulize, mbona alieanzisha Ile mada ya project za Dar aliona Ni heri aje huku upande wa Kenyan news? Lengo lake ilikua nani? Was hehe/she looking for approval from Kenyans? Ama angeanzisha ule upande mwengine haingekua Na maana?

Wakenya hauwezi ukawaeka zizi moja Kama kondoo, sisi Ni watu wamejazana kila mahali...wengine utawapata hata forum za pakistani Na china, Si Ni watu hupenda Ku explore, kila forum utatupata tukijadiliana Na watu tofauti...
 
Du!
Unaandika gazeti!!
 
Kenya Women Finance Trust tower site prep -source SSC

kwft.jpg
kwft 4.jpg
 
Attachments

  • kwft 3.jpg
    kwft 3.jpg
    81 KB · Views: 63
Vasudave apartments

vasudav 3.jpg

vasudav 2.jpg
vasudav 5.jpg
vasudav 6.jpg
vasudav.jpg

the neighbouhood where its located
vasudav neighbouhood.jpg
 
Attachments

  • vasudav 4.jpg
    vasudav 4.jpg
    54.5 KB · Views: 45
  • vasudav 7.jpg
    vasudav 7.jpg
    34.6 KB · Views: 67
Nairobi hospital expansion project
in August 2016, Kenyan print media reported that the hospital planned expanding its physical infrastructure, its staffing levels and its bed capacity. The planned expansion, budgeted at KSh5.7 billion (approx. US$57.2 million), includes the following:
  1. Increase bed capacity from 355 to 750
  2. Building of a 14-storey hospital skyscraper, to house inpatient and outpatient departments, a diagnostic centre, operating rooms, an intensive care unit, a specialist kidney department, and a specialised kidney and bladder surgery unit.
  3. Construction of a six-story parking lot, 1,021 parking bays
  4. Establishment of a water purification plant, capable of processing 45 cubic metres (1,589 cu ft) per hour
  5. Construction of a nine-storey office block with specialised medical services
  6. Erection of an eight-storey doctors’ plaza
  7. Building of a 14-storey centre of excellence
  8. Construction of an eight-storey university education block.
nairobi hospital 3.jpg
nairobi hospital 4.jpg

vip wing render
nairobi hospital 5.jpg
nairobi hospital.jpg

I'll bring more renders of the other uncompleted constructions mentioned
 
Tatizo watz mko watz mko Na interiority complex kwa Kenya, ndio maana siku zote mnalalamika kudharauliwa Na wakenya...
Mimi Mara nyengine hupitia kule upande wa mambo ya tz, Na Mara nyengine huona comment za madharau Na kejeli kwa wakenya, lakini hua napita Tu bila kujali, mi hu scan thru hizo mada ili kujielimisha alafu natoka, bila hard feelings, nasahau matusi yoyote nilio yasoma.

Eti watanzania wasipoingia huku hakuna jipya, hebu jiulize kwanini watanzania hujazana humu? Mbona wakenya hawajazani Ile side nyengine ya habari za watz? Hata muanzishe mada gani ya kutukana wakenya ule upande mwengine hatutojazana ng'o, jiulize kwa nini...
Alafu upitie forum moja ya kikenya hapa News & Politics

Alafu ebu nikuulize, mbona alieanzisha Ile mada ya project za Dar aliona Ni heri aje huku upande wa Kenyan news? Lengo lake ilikua nani? Was hehe/she looking for approval from Kenyans? Ama angeanzisha ule upande mwengine haingekua Na maana?

Wakenya hauwezi ukawaeka zizi moja Kama kondoo, sisi Ni watu wamejazana kila mahali...wengine utawapata hata forum za pakistani Na china, Si Ni watu hupenda Ku explore, kila forum utatupata tukijadiliana Na watu tofauti...
well said
 
Back
Top Bottom