Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,943
Uzi huu hauhusu kupigia chapuo kampuni yoyote ya betting. Wanasema kizuri kula na ndugu yako.
Nimecheza Biko, Tatu mzuka kwa kutarajia mamilioni nimeishia kuambulia pesa kidogo toka BIKO, nimecheza online keno sijapata pesa niliyotarajia.
Nimecheza hizi keno za wachina za mitaani, hizi ndio hovyo kabisa.
Sasa nimeingia kwenye Online casino toka Play Master na Meridian Betting nimeona mafanikio ingawa si makubwa.
Ila nina uhakika wa kutengeneza 20k-100k per day. Sasa hivi dhiki ya kusubiria mshahara kama kijiji kinavyosubiria Mwenge sina.
Hizi games ukifanikiwa kuchagua nzuri na ukiwa na bahati unapiga pesa.
Yaani kati ya siku 5 ninazocheza, siku 3- 4 nakula Mimi huku siku za kuliwa ni 1-2.
Nimefanya vitu kadhaa kupitia pesa ya hizi slots(I can't explain here)
Kama u jasiri jaribu kucheza hizi games toka kampuni yoyote ile ila isiwe kampuni ya Mbongo au ya Mchina.
Simu yako na pesa kidogo ndio mtaji wako.