Online casino zinalipa wazee, ukithubutu na ukiwa makini tu unapata pesa

Online casino zinalipa wazee, ukithubutu na ukiwa makini tu unapata pesa

Uzi huu hauhusu kupigia chapuo kampuni yoyote ya betting. Wanasema kizuri kula na ndugu yako.
Nimecheza Biko, Tatu mzuka kwa kutarajia mamilioni nimeishia kuambulia pesa kidogo toka BIKO, nimecheza online keno sijapata pesa niliyotarajia.
Nimecheza hizi keno za wachina za mitaani, hizi ndio hovyo kabisa.
Sasa nimeingia kwenye Online casino toka Play Master na Meridian Betting nimeona mafanikio ingawa si makubwa.
Ila nina uhakika wa kutengeneza 20k-100k per day. Sasa hivi dhiki ya kusubiria mshahara kama kijiji kinavyosubiria Mwenge sina.
Hizi games ukifanikiwa kuchagua nzuri na ukiwa na bahati unapiga pesa.
Yaani kati ya siku 5 ninazocheza, siku 3- 4 nakula Mimi huku siku za kuliwa ni 1-2.
Nimefanya vitu kadhaa kupitia pesa ya hizi slots(I can't explain here)
Kama u jasiri jaribu kucheza hizi games toka kampuni yoyote ile ila isiwe kampuni ya Mbongo au ya Mchina.
Simu yako na pesa kidogo ndio mtaji wako.
Hakuna kamari ya maana hata moja.
 
Wachache wataelewa mkuu, na wale watakao visit thread yangu ya jinsi ya kushinda michezo ya kamari

Rakims
Screenshot_20200831-192723.jpg
 
Hapana mzee mimi sio mdau

Ila hayo mambo nayajua vizuri sana

Nikiamua hata sasa hivi nipate laki mbili naipata by that way

Sema dini hairuhusu ila ninayajua vizuri

Bado nachunguza bible kama inaruhusu haya mambo

Ila hakuna kitu kirahisi kwangu kama hiyo michezo hakuna either kws big odds or low odds
Ondoa dini kichwani utaneemeka
 
Casino yoyote huwa kunawekwa nafasi ya ushindi na yakupoteza 50/50 hii ikiwa na maan kama umecheza leo ukala kesho utapoteza pesa yote nakama umepoteza pesa basi kesho ukicheza utarudisha pesa uliyopoteza . Kesho sina maana ya kesho bali hata baada ya muda mfupi. Kama umeshinda hata milion 100 kuna uwezekano ukiendelea kucheza utapoteza zaidi ya milion 100. Na hata kama umepoteza kiasi gani kama una mtaji wakuendelea utarudisha pesa yako . Mchawi mtaji kama muhindi ana mtaji mkubwa kuliko wewe it means wewe ndiye wakwanza kusarenda. Na kumwachia pesa zako
 
Back
Top Bottom