Online casino zinalipa wazee, ukithubutu na ukiwa makini tu unapata pesa

Online casino zinalipa wazee, ukithubutu na ukiwa makini tu unapata pesa

Chief Gambling zimewahi kukujeruhi nini?
May be ni bahati, kuna wakati nilikuwa napiga pesa sana PMbet kupitia HOT 7 ndugu yangu aliposikia akasema nimfundishe, alipigwa pesa mpaka alijuta.
PMbet baadaye walichezea server kila nilipojaribu nikaona kugumu nikawahama. Nikaenda kupiga Meridian nikakuta OK, now PMbet nako kuna mchuzi.
Hapana kamanda. Sijawahi kucheza kamari maishani mwangu ila nafahamu watu wachache ambao kamari zimewaharibu. Inatakiwa ujuzi sana na bahati ila mwisho wa yote the odds are stacked against you na mwishowe pesa utapoteza tu. Na tatizo kubwa ni kwamba hata ukifanikiwa kupiga hela ndefu kuacha huwezi. Ndiyo kwanza unachemka. Mpaka unazimaliza tena. Na mzunguko unaendelea....
 
Naona umeamua kutoa siri yangu😅😅! ameniambia juz..unajua nikikuomb hela km 2000 hwa nabet?nikasema ohoo..!unaoata km ngap akasema km 5000!nikasema bas bi vyema sana ndg!mie nimesema had nimejichokea
Dah wayback masomoni nshawahi ata manzi mmoja anajua hadi kikosi cha newacastle

Tunaweka nae mikeka

Inatiki haoooo beach kula maisha

Mwe stacy nmekamiss
 
mzee wa kamali nipo hapa hebu nipe utararibu chapu niende zangu kujiunga mapema
 
Hapana kamanda. Sijawahi kucheza kamari maishani mwangu ila nafahamu watu wachache ambao kamari zimewaharibu. Inatakiwa ujuzi sana na bahati ila mwisho wa yote the odds are against you na mwishowe pesa utapoteza tu. Na tatizo kubwa ni kwamba hata ukifanikiwa kupiga hela ndefu kuacha huwezi. Ndiyo kwanza unachemka. Mpaka unazimaliza tena. Na mzunguko unaendelea....

Kamari ni Dhambi
 
Hapana mzee mimi sio mdau

Ila hayo mambo nayajua vizuri sana

Nikiamua hata sasa hivi nipate laki mbili naipata by that way

Sema dini hairuhusu ila ninayajua vizuri

Bado nachunguza bible kama inaruhusu haya mambo

Ila hakuna kitu kirahisi kwangu kama hiyo michezo hakuna either kws big odds or low odds
Itabidi unielekeze mimi nacheza tunagawana faida. Bila shaka ntakuwa nimeitakatisha pesa kutoka isiyo faaa mpaka inayokubarika. Kwa sababu faida ntakuwa natoa kama mchango. Mtaji ntweka mimi wa 500K. Kazi ni kwako!
 
H
Wadanganye bahati yako wailalie mlango wazi (kama walivyofanya kwenye Forex). Gambling is a hell of a drug na ikikukolea hata kokeini cha mtoto. Utauza mpaka vijiko [emoji16][emoji16]

Isitoshe michezo yote hii inaendeshwa kwa mehesabu. Kuliwa lazima utaliwa tu utake usitake. Ni suala la muda tu !!!
Hahaha mzee umeongea ukweli mtupu
 
Chief Gambling zimewahi kukujeruhi nini?
May be ni bahati, kuna wakati nilikuwa napiga pesa sana PMbet kupitia HOT 7 ndugu yangu aliposikia akasema nimfundishe, alipigwa pesa mpaka alijuta.
PMbet baadaye walichezea server kila nilipojaribu nikaona kugumu nikawahama. Nikaenda kupiga Meridian nikakuta OK, now PMbet nako kuna mchuzi.
But do it for your own risk
 
Itabidi unielekeze mimi nacheza tunagawana faida. Bila shaka ntakuwa nimeitakatisha pesa kutoka isiyo faaa mpaka inayokubarika. Kwa sababu faida ntakuwa natoa kama mchango. Mtaji ntweka mimi wa 500K. Kazi ni kwako!
Kazi zimenibana mkuu

Hata hivyo hii michezo si mizuri kabisa

Na uhakika wa kushinda na kula ila bado siichezi

Nilimwambia sir God wewe si maskini kihivyo mpaka nitafute hela kwa njia ya kamari

Anyway maajabu yake nayaona
 
mzee wa kamali nipo hapa hebu nipe utararibu chapu niende zangu kujiunga mapema
Andika PMbet, au Meridian Tanzania au jina la kampuni yoyote maarufu kisha nenda mahali pa REGESTER then depose pesa kisha jizolee pesa.
Achana ña kubashiri mipira kwa kutaka mamilioni. Cheza casino utengeneze pesa.
 
Back
Top Bottom