Online Engagements: Ushaidi kuntu juu ya mechi ipi ni kubwa kati ya ile ya Simba vs Al Ahyl na Yanga vs Mamelodi

Online Engagements: Ushaidi kuntu juu ya mechi ipi ni kubwa kati ya ile ya Simba vs Al Ahyl na Yanga vs Mamelodi

Zouzoutz

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
1,883
Reaction score
2,732
Ukubwa wa mechi kati ya ile ya Simba vs Al Ahyl na ile ya Yanga vs Mamelodi Sundowns ushakuwa wazi tangu tarehe 12/03/2024 ilipopangwa droo ya CAF robo fainali.

Tangu hiyo siku mpka Leo,kati ya mechi zote za wiki hii,ni mechi Moja yenye high online engagements.

Mechi hiyo ni ya Yanga vs Mamelodi.

Mathalani ukiingia katika ukurasa rasim wa CAF kule X,kama ukianzia tarehe 12 ya mwezi huu,basi habari za mechi ya Yanga ndo yenye kuchangiwa na watu wengi.

Hata yule mnazi wa Simba Micky Jr, akitaka apate engagements basi ni lazima apost habari za Yanga.

Hata CAF wanalijua hilo, wakitaka wapate online engagements kubwa basi ni lazima wapost habari za Yanga.

No Yanga no online engagements.

Ebu angalia mathalani huu mchanganuo huu hapq chini kwenye hizi post mbili za tarehe 12/03/2024 baada ya droo ya Robo Fainali kwenye ukurasa wa CAF kule X: Yanga kapata comments 748,retweets 1k,likes 6k na views 315k

Simba kapata comments 281,retweets 654, likes 5.1k na views 131k

NB:
Nasema za Yanga na Simba kwa kuwa hata CAF wanajua bila ya kupost habari za Simba na Yanga hawatopata online engagements kubwa

Japo Yanga tunaongoza kwa kufuatiliwa mtandaoni, ila nisiwe mnafiki

Wabongo tunatisha kwa kuzichangamsha media platform za mtandaoni

Congrats to us

Screenshot_20240327-161455.png
Screenshot_20240327-161442.png
Screenshot_20240326-201110.png
Screenshot_20240326-201059.png
 
Ata sisi Tff na Caf wanatutambua kwenye ushirikina alafu hata haturingi.
 
Iyo moja ni kama ndondo cup maana ni mtu na mkewe .afu tusha jua matokeo tayari mke ana ishia robo fainali siku zote
 
Mbona kama mnatulazimisha?

Fact is Simba hii stage na Alhly ni kama kwenda kanisani au msikitini.

Uto ndo fisrt experience obvious wakipostiwa huko lazima wajazane kama nyuki kujitetea kwamba wao ni bora kuliko masandawana..
 
Back
Top Bottom