THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Ulikua huna hata kipaji chochote Mkuu?😂😂ni pesa mura!!!! (kwa sauti ya kikurya)
Nikitoe wapi😂Ulikua huna hata kipaji chochote Mkuu?😂😂
O'level to Advance??🤔🤔 Mkuu utakua unajua kutongoza kweli?😂😂Nilisoma uboizini, ngoja niwe msoma komenti
Count me in too....Nipo hapa kusoma chai za wakulungwa....
Bahati yake alipata Mwanamke aliemuonea Huruma,jamaa kaoa mwaka jana huyoO'level to Advance??🤔🤔 Mkuu utakua unajua kutongoza kweli?😂😂
MremboooCount me in too....
I trust my inner instinct, nina kipaji cha kujua huyu ni mrembo bila hata kumuona
Your inner instinct haijawahi kukuongopea hata mara moja?i trust my inner instinct, nina kipaji cha kujua huyu ni mrembo bila hata kumuona