Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Chai nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisa,yani huwa ipo vizuri mnoo,inadai wewe ni black beauty mmoja ♨️ hatariYour inner instinct haijawahi kukuongopea hata mara moja?
Kama nakuona vileNipo hapa kusoma chai za wakulungwa....
Daah! [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi niliachaga shule na chuo
Isitufanyie hivyo mkuu, mwaga mastory tutoe stress za kazi, na hujawahi kuniangusha[emoji16]Nipo hapa kusoma chai za wakulungwa....
Ndio.O'level to Advance??[emoji848][emoji848] Mkuu utakua unajua kutongoza kweli?[emoji23][emoji23]
Daahh, hahahaabahati yake alipata Mwanamke aliemuonea Huruma,jamaa kaoa mwaka jana huyo
Sema Basketballer wahuni sana😂😂✌✌O level walinibatiza jina "Sukari yao" HB, kichwa class,afu basketballer wataponea wap nlikula almost pisi zote kali plus kunihonga😆
😂😂😂😂bahati yake alipata Mwanamke aliemuonea Huruma,jamaa kaoa mwaka jana huyo
We Vp ulianza kuliwa o level na njemba ngapiCount me in too....
Mimi nilikuwa kichwa class , nikawa Nina convoy la madem Ila siwachapi, nikawa nachapa mimama kitaa Kwan ilikuwa one stop kiki, Hawa wanafunzi ilikuwa had umlete geto ni mchakato, so nkawa nawapotezeaWakuu Poleni na Majukumu ya kutwa Nzima!
Leo nimekumbuka Life la school lilivyokua na hasa Inshu ya Mapenzi, nilivyokua natesa watoto wa watu because nilikua kichwa Class halafu Handsome,then mtu flani mkimya Pisi ikija naila kiwepesi halafu sitangazi hata kwa wahuni wenzangu.
Nikawaza sana nikacheka nikaone niulize na wadau humu,nyie watoto mlikua munawavutia na kipi??
Au Tabia ya kuhonga Mmeanza kitambo??😂😂
[emoji23][emoji23] mkuu hakuna mtu anayejiangalia Kwenye kioo alafu aseme anasura mbovu trust me, sema tu atahisi amezidiwa na fulani au fulani [emoji111][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Daah Maanina walahi hii ndo JF kila mtu HB, kila Mtu alikuwa wa kwanza Darasani! Tukija story za maisha basi kila Mtu ana gari [emoji38][emoji38][emoji38] ila Chai za JF tamu sana! Oi Mwanangu @kidukulilo tumemiss Chai zako
Only men...😁Isitufanyie hivyo mkuu, mwaga mastory tutoe stress za kazi, na hujawahi kuniangusha[emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi nilikuwa Pastor, sikuwa mtu wa mademu kabisa, but math ilinipa marafiki wengi, ke walitamani kulipa fadhila kwa msaada niliokuwa nawapa but upasta ulinizidiOnly men...[emoji16]
Kila mtu atajifanya hapa alikua na hela, mzuri, msafi, mpole na anaongoza darasani mkwendreeeee hukooooo