Only Men: Ulivyokua school Watoto wakike walikua wanakupendea nini?

Only Men: Ulivyokua school Watoto wakike walikua wanakupendea nini?

Mi nilikuwa mtu wa chimbo tu....naonekana kipind cha umisseta tu kupiga boli..muda mwing nipo kipind hicho tazara golin kwa mwanetu tunasukuma mitumba tu..
 
Kupendwa nmeanza ukubwani nlipoanza kazi na kuwa na pesa na kagari.....sijawai bahatika kuwa na demu nliesoma nae walikuwa wanachomoa.....hata chuo........maana sura yangu hii pesa ndo imeniokoa😂 nlikuwa kimtu cha ajabu huko school.....saizi nawatusua hawa viumbe hasa wa vyuoni.....si nawalipa nyie mliokuwa mnatamba schooli,bila bila
 
Daah! Umenikumbusha wakati nipo O-level kidato cha 3, halafu Pisi kali ipo form 5,wakati huo ni Waziri wa Taaluma, Basketballer halafu handsome boy

Oyaa Ile kazi ilinielewa sana, halafu muhuni hata sielewi yani, Pisi mixer kuniletea zawadi za Chocolate na soda, nilikuwa najikuta kishenzi

Sema nini?, Nilipofika chuo ndo tukaelewana ila now kaolewa na muhimu zaidi naendelea kupiga mke wa mtu, Mwanangu aliyeoa hii kazi anisamehe sana, coz sina namna
Ipo siku yako yaja utaliwa na mate
 
Jf ina ufala mwingi kinoma, yaan kiila mmoja alikua HB na anaongoza darasa daadek wahuni mnatuchosha na hizi kahawa zenu maana hizi sio chai tena ni Cupchino
Oya mkuu kausha tuendelee kunywa chai hapa nimeandaa na vitumbua
 
Daaah Mungu aniepushe na hii kadhia, Ngoja nifanye mchakato wa kuachana nae, umenikumbusha jambo la maana sana hili
Naam hakujawahi tokea mwanaume dhaifu linapokuja swala la kuibiwa mkewe, atatumia silaha zote muhim ili ulipie, iwe kukutafuna yeye ama na masela zake au hata kukuendea pemba huko akashughulika na wewe
 
O level unakuwa na demu?[emoji848][emoji848][emoji848] Au niliruka stage, maana nakumbuka ilikuwaga me na wanangu tu yaan,, demu akileta shobo hatumuelew ni mibanzi tu
 
Mi nilkuwa TO wa form two B, asikwambie mtu soda tamu, nilhongwa sana soda na pisi Kali za form two B.
 
Watu mliosomea Seminari hamjui Raha Nyie ya Co-Education schools tulieni[emoji23][emoji23]
Kwa taarifa yako nimesoma shule ya Kata huko bush na advance nako nikasoma shule mchanganyiko, A level tulikua wanaume tena tusiozidi 40 na O level ikiwa mixer na walikua zaidi ya 700, imagine hao watoto wa o level walikua wanashobokaje, ila ndio hivyo tena hatuna lakudanganya sisi wengine na hatujisifii kwa ubaya tuliotenda zaidi tunajuta
 
Back
Top Bottom