Only Men: Ulivyokua school Watoto wakike walikua wanakupendea nini?

Only Men: Ulivyokua school Watoto wakike walikua wanakupendea nini?

Naendelea kusoma chai zenu.😂
Kila mtu alikuwa HB + kichwa darasani.🙌🙌
 
Only men...😁
Kila mtu atajifanya hapa alikua na hela, mzuri, sukari, msafi, mpole na anaongoza darasani mkwendreeeee hukooooo
wa
Mimi nilikuwa kichwa class , nikawa Nina convoy la madem Ila siwachapi, nikawa nachapa mimama kitaa Kwan ilikuwa one stop kiki, Hawa wanafunzi ilikuwa had umlete geto ni mchakato, so nkawa nawapotezea
ila tuseme ukweli wadada wakubwa ni watamu sana hasa ukute lina matter core😋
 
Walijua Mimi ni mtoto wa kishua, kuanzia mavazi na sare na usomaji wangu,( utanashati)

Pia nilipenda michezo sana
 
Back
Top Bottom