Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Na asiend sauzi huyu dogo watamshoot RAIA wa ile nchi wapuuzi sana
 
hahahaha naona leo una furaha kinyama
 
hahahaha naona leo una furaha kinyama
mkuu "" wamenikubusha mbali sana "" wajua mimi "" na kina the list ndio tulikuwa ant forex Humu ndani "" so inachekesha mnooo pindi " unapojitokeza ushuhuda mbali mbali " kuhusu haya mambo ya fx kuwa ni hoax"" wakati awali tulikuwa tunaonekana ni haters "" nakumbuka Siku ya anguko la TMT humu hapakakukalika aisee..."" Ontario mwenyew alitoka mbio ""
 
hahaaa ..achana nae huyo " usikute ndio Ontario mwenyew huyo ..amekuja na I'd nyingine "" mwambie kuwa hauna njaa "" G huwa anakupa mpunga mrevu tu ..kwann uanze kupasua kichwa na mambo ya kuunguza acc....
Hivi unazikumbukazile dola wanasema kwa siku naingia milioni ngapi kwa wiki naingiza milion 20 sijui au nimesahau leo imeshuka hadi kwa siku dola30
 

Mwenye akili ndogo ni Cre, anapaniki na kuweka mambo hadharani mapema huyu ndiyo chanzo
 
Leo umekiri na ukihama utachukiwa
 
Hivi unazikumbukazile dola wanasema kwa siku naingia milioni ngapi kwa wiki naingiza milion 20 sijui au nimesahau leo imeshuka hadi kwa siku dola30
Nakumbuka vyema madame "" na miongoni ya hao clients nihuyu hapa... CCNP Engineer ...kuna Uzi aliufungua akawa anasema kuwa kwa siku moja alikuwa anaingiza Ml.1""" hahaa majuzi kati kaja nauzi anaomba ushauri Anataka akope million 5 " kisha aache kazi akafanye biashara "" hahaa...yaani mtu anayeingiza..ml.1 per day kumbe hata ml.5 bado inamtoa jasho la makalio
 
Inaonesha kila mmoja alitaka amuwahi mwenzake ubaya Cre akatangaza vita wakati yupo South, mjanja wa mjini akamuwahi.

Ila uhasama huu kuna mtu atachomewa asikanyage Tz na kuna mtu hataenda South daima
 
daaah"" Fanya na sisi tuje n program yetu tuweze kupuna pesa za watanzania...kabla ccm haijatoka madarakani "" maana ukija utawala mpya...utakuwa unatolea macho issue za magumashi + so hatutopata fursa ya kupiga pesa ndefu "" huu ndio wakati baba
Unajua kuhubiri!?.. Unajua kuigiza miujiza!?.. Tufungue Kanisa mjini hapa 😀
 
Hivi kumbe siku hzii TMT ndio imekuwa forex duuu! Hivi hapa bongo kila anayetrade forex yupo TMT! Lo sikujua kwamba chuki inapelekea hata gurus wa forex wanakuwa kama wajinga wasiojua forex! WENGINE TUNAFANYA FOREX NA HATUIJUI HIYO TMT kwa hiyo msi generalize ikaonekana kwamba forex ni kitu kibaya na wote wanaofanya forex wapo TMT. Kuweni specific ni hizo chuki zenu kwa Ontario siyo kufanya watu waone forex kama ni kitu kibaya sana ambacho hawatakiwi kufanya! K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…