Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Staki kuamini kama ni tapeli, aliwezaje kusaini na kuchukua hizo hela.
Je makubaliano yalikuwaje? Nahisi ni vita vya nikose na nipate. Unitial cost zilitoka kwa nani? . Nahisi yapo ya kujifunza ndani yake kabla ya kuamua. Huenda yajayo yanatisha zaidi.
Na asiend sauzi huyu dogo watamshoot RAIA wa ile nchi wapuuzi sana
 
hahaa ule ulikuwa uongo mzito sana "" tena wakiwango cha tani ...binafsi logic yake sikuiona maana jeshi la police nalo pia ni jeshi "" so unavua unavaa koti la police ili kuficha t.shirt ya jeshi la wananchi ili iweje ""? wakati hayo yote ni majeshi ya nchi na sheria za nchi zinakataza raia yoyote kuvaa nguo za hayo majeshi yote"" PALE ALIKUWA ANATAFUTA KUWA TEKA KIAKILI WATU ILI WAONE KUWA JAMAA ANAJULIKANA NA WAKUBWA "" SIWAJUA KUWA ALIKUWA ANASAFIRIA NYOTA YA KUJIFANYA KUWA YEYE NI USALAMA WA TAIFA...WAKUMBUKA MWANZO WA ILE STORY ANAJIFANYA KUWA ALIITWA NA MKUU WA USALAMA AKAWA ANATAKA AMUELEZEE KUHUSU MASUALA YA FX "" anajuwa fika ukitaka kuziteka akili za wabongo basiii jifanye upo karibu na watu ambao wananguvu ya ushawishi katika jamii"" na kweli katika hilo alifaulu """ hahaaa...basiii mimi nilivyoisoma ile story na kuona hayo matukio nika connect dots nikaona mmh hapa wanatafutwa wajinga ambao ndio huwa wali wa werevu "" "" nikajiuliza T.shirt ya jeshi na huyu mkubwa wa TISS wanaumuhimu gani wakuwepo ktika hii story """!!? kwanini asingekwenda straight tu nakutueleza dhamira ya maudhui yake ..mpaka kuanza kutupikia haya matukio...!?.."" mzee baba hadi hapo nikasema wacha nirushe mbawa mie maaana ndio sifa ya kunguru muoga "" hahaa mwisho wasiku waoga huwa wanasimama mbele ya nyumba zao nakuwaonyesha watoto wao makaburi ya mashujaa wao yalipo ""....hahaa
hahahaha naona leo una furaha kinyama
 
hahahaha naona leo una furaha kinyama
mkuu "" wamenikubusha mbali sana "" wajua mimi "" na kina the list ndio tulikuwa ant forex Humu ndani "" so inachekesha mnooo pindi " unapojitokeza ushuhuda mbali mbali " kuhusu haya mambo ya fx kuwa ni hoax"" wakati awali tulikuwa tunaonekana ni haters "" nakumbuka Siku ya anguko la TMT humu hapakakukalika aisee..."" Ontario mwenyew alitoka mbio ""
 
hahaaa ..achana nae huyo " usikute ndio Ontario mwenyew huyo ..amekuja na I'd nyingine "" mwambie kuwa hauna njaa "" G huwa anakupa mpunga mrevu tu ..kwann uanze kupasua kichwa na mambo ya kuunguza acc....
Hivi unazikumbukazile dola wanasema kwa siku naingia milioni ngapi kwa wiki naingiza milion 20 sijui au nimesahau leo imeshuka hadi kwa siku dola30
 
Hakuna alieibiwa pesa clients tuko salama kabisa trade zina run kama kawaida,nampenda ontario na wenzie ila kwa kugombanaa kwenye grups wameonesha uafrica wao wa ajabu samahani kwa hili ONTARIO soon nabadilisha broker mmeniboa kwa ugomvi wenu.nahamia ECN Broker.Forex ni nzuri tu il hawa watu wameboa

Mwenye akili ndogo ni Cre, anapaniki na kuweka mambo hadharani mapema huyu ndiyo chanzo
 
Hakuna alieibiwa pesa clients tuko salama kabisa trade zina run kama kawaida,nampenda ontario na wenzie ila kwa kugombanaa kwenye grups wameonesha uafrica wao wa ajabu samahani kwa hili ONTARIO soon nabadilisha broker mmeniboa kwa ugomvi wenu.nahamia ECN Broker.Forex ni nzuri tu il hawa watu wameboa
Leo umekiri na ukihama utachukiwa
 
Hivi unazikumbukazile dola wanasema kwa siku naingia milioni ngapi kwa wiki naingiza milion 20 sijui au nimesahau leo imeshuka hadi kwa siku dola30
Nakumbuka vyema madame "" na miongoni ya hao clients nihuyu hapa... CCNP Engineer ...kuna Uzi aliufungua akawa anasema kuwa kwa siku moja alikuwa anaingiza Ml.1""" hahaa majuzi kati kaja nauzi anaomba ushauri Anataka akope million 5 " kisha aache kazi akafanye biashara "" hahaa...yaani mtu anayeingiza..ml.1 per day kumbe hata ml.5 bado inamtoa jasho la makalio
 
Inaonesha kila mmoja alitaka amuwahi mwenzake ubaya Cre akatangaza vita wakati yupo South, mjanja wa mjini akamuwahi.

Ila uhasama huu kuna mtu atachomewa asikanyage Tz na kuna mtu hataenda South daima
 
daaah"" Fanya na sisi tuje n program yetu tuweze kupuna pesa za watanzania...kabla ccm haijatoka madarakani "" maana ukija utawala mpya...utakuwa unatolea macho issue za magumashi + so hatutopata fursa ya kupiga pesa ndefu "" huu ndio wakati baba
Unajua kuhubiri!?.. Unajua kuigiza miujiza!?.. Tufungue Kanisa mjini hapa 😀
 
mkuu "" wamenikubusha mbali sana "" wajua mimi "" na kina the list ndio tulikuwa ant forex Humu ndani "" so inachekesha mnooo pindi " unapojitokeza ushuhuda mbali mbali " kuhusu haya mambo ya fx kuwa ni hoax"" wakati awali tulikuwa tunaonekana ni haters "" nakumbuka Siku ya anguko la TMT humu hapakakukalika aisee..."" Ontario mwenyew alitoka mbio ""
Hivi kumbe siku hzii TMT ndio imekuwa forex duuu! Hivi hapa bongo kila anayetrade forex yupo TMT! Lo sikujua kwamba chuki inapelekea hata gurus wa forex wanakuwa kama wajinga wasiojua forex! WENGINE TUNAFANYA FOREX NA HATUIJUI HIYO TMT kwa hiyo msi generalize ikaonekana kwamba forex ni kitu kibaya na wote wanaofanya forex wapo TMT. Kuweni specific ni hizo chuki zenu kwa Ontario siyo kufanya watu waone forex kama ni kitu kibaya sana ambacho hawatakiwi kufanya! K
 
Back
Top Bottom