Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Unajua kuhubiri!?.. Unajua kuigiza miujiza!?.. Tufungue Kanisa mjini hapa 😀
hahaa...hivi huwaga unaiperuzi akili yangu nini !?? Jana " kuna mtu nilitoka kuongea nae suala kama hili aisse....."" hilo ulosema ndio jambo lenye afya sasa"" hebu tuanze huo mchakato aisee..."" kuigiza hilo suala sio tatizo mkuu""
 
Acha Misukule na mifuata upepo ya forex izidi kupungua tubaki wachache wenye kujielewa.
 
mzee baba " najuwa kuwa " FOREX haihusiki na TMT kabisaaa hilo nalielewa " lakini sasa hili suala la TMT limekuwa kama samaki mmoja aliyeoza ndani ya kapu " ukiuziwa samaki na muuzaji "" kisha yule samaki akawa ameoza "" sidhani kama "kesho Yke ''utadiriki tena kununua samaki" wengine kwa ''huyo mfanya biashara maana utakuwa 'unahisi kuwa samaki '''wake wote ni wabovu tu"" na hiki ndio kilichotokea hapa ""
 
halafu yakupasa ujue kuwa hakuna mtu Mwenye chuki na huyo so called Ontario " but tuko hapa kama sehemu ya Jamii na tuna haki ya kudiscus chochote kile ambacho kina jiri katika Jamii Yetu " kiwe ni kizuri au nikibaya...vyote vina nafasi ya kujadiliwa kwaajili ya manufaa ya ustawi wa Jamii Yetu """ so huyo Ontario na TMT yake wote wanaingia katika sehemu ya Jamii" hawawezi kuepuka " mijadala " iwe ni kwa mazuri au kwa mabaya "
 
hahaa...hivi huwaga unaiperuzi akili yangu nini !?? Jana " kuna mtu nilitoka kuongea nae suala kama hili aisse....."" hilo ulosema ndio jambo lenye afya sasa"" hebu tuanze huo mchakato aisee..."" kuigiza hilo suala sio tatizo mkuu""
😀😀 Nitafutie mama wa kanisa mwenye ushawishi kwanza aanze kutoa shuhuda nimembadili mengine yatajilipa kule MMU.
 
😀😀 Nitafutie mama wa kanisa mwenye ushawishi kwanza aanze kutoa shuhuda nimembadili mengine yatajilipa kule MMU.
haha haha wapo wengi ninao "" ngoja nimpange kwanza ""
 
FNB hii benki si ilishafungwa hapa nchini??? au zilikuwa siasa? maana hiyo na kenzake hivi vilifungiwa kwa kutakatisha pesa za waarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…