Daslam hahahaSuperstar bongo?
Nianze tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daslam hahaha
Sio asante tu uendelee na wewe kubet kwa nguvu upate hela nyingi uzidi kunitunza mpenzi.Rahazizi asante kwa mapenzi uliyonipa juzi....mapenzi matamu kama mvumo wa radi
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wakati wanatuma screen shot za blue walituita tufurahie nao kwani?
Mie Vicoba vinanitosha na faida naiona huku kwingine wafanye wengine.Nasikia na wewe ulicheza mchezo wa FOREX ukajua ni VICOBA. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hilo nalo nenoUsichukulie udogo wake inategemea kajifunza kuanzia lini.
nafanya juu chini yaani niko kila sehem Biko, tatumzuka ,sport pesa, forex, meridian hizi hela zote nimkwaa ajiri yako mwaka huu tuna enda likizo visiwa vya carribian endelea kuniombea nishinde mabilioniSio asante tu uendelee na wewe kubet kwa nguvu upate hela nyingi uzidi kunitunza mpenzi.
Nini tena murembo?Naumwa mie
Mie Vicoba vinanitosha na faida naiona huku kwingine wafanye wengine.
Inshallahnafanya juu chini yaani niko kila sehem Biko, tatumzuka ,sport pesa, forex, meridian hizi hela zote nimkwaa ajiri yako mwaka huu tuna enda likizo visiwa vya carribian endelea kuniombea nishinde mabilioni
Mambo mengi sijui na ngoma imetibuka humoNini tena murembo?
Sio rahisi kuviacha. Mwaka wa 3 huu nikoVicoba Mama Sabrina kakutazeni.
Ngoma ni nini ? Pole sanaMambo mengi sijui na ngoma imetibuka humo
Tutajenga bungallow sasa!.Nikiwa mama mchungaji mambo ni house party tuu sijui havoc sijui tips naacha.
Me anaruhusiwa kucheza vicoba nije unifundishe. [emoji23] [emoji23]Mie Vicoba vinanitosha na faida naiona huku kwingine wafanye wengine.
Hamna lolote ingekuwa katawapeli mngemshitaki acheni tupige sogaUzi umevamiwa na wakina mama wa tandale na mwananyamala. Ni story za kuuziana madela na ubuyu kwa kwenda mbele.
Aiseeeeh huyu Ontario atuombe radhi jamii ya forez traders kwa kuifanya forex ionekane ni upatu au vikoba vya kitapeli mpaka hawa wakina mama wamepata uwanja wa kupiga soga. Forex imepatikanika wallah.
Anyway ni suala la muda yatapita [emoji1]
[emoji1]Hamna lolote ingekuwa katawapeli mngemshitaki acheni tupige soga
Hamna lolote ingekuwa katawapeli mngemshitaki acheni tupige soga
Me anaruhusiwa kucheza vicoba nije unifundishe. [emoji23] [emoji23]