Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Sio asante tu uendelee na wewe kubet kwa nguvu upate hela nyingi uzidi kunitunza mpenzi.
nafanya juu chini yaani niko kila sehem Biko, tatumzuka ,sport pesa, forex, meridian hizi hela zote nimkwaa ajiri yako mwaka huu tuna enda likizo visiwa vya carribian endelea kuniombea nishinde mabilioni
 
Inshallah
 
Uzi umevamiwa na wakina mama wa tandale na mwananyamala. Ni story za kuuziana madela na ubuyu kwa kwenda mbele.

Aiseeeeh huyu Ontario atuombe radhi jamii ya forez traders kwa kuifanya forex ionekane ni upatu au vikoba vya kitapeli mpaka hawa wakina mama wamepata uwanja wa kupiga soga. Forex imepatikanika wallah.

Anyway ni suala la muda yatapita [emoji1]
 
Hamna lolote ingekuwa katawapeli mngemshitaki acheni tupige soga
 
Ficha upumbavu wako...
Huu Uzi unahusu Forex and related issues.
Habari za madela, kuumwa sijui kujichokonoa nini anzisheni Uzi wenu.
Acheni upumbavu. People discuss serious matters here!!
 
Me anaruhusiwa kucheza vicoba nije unifundishe. [emoji23] [emoji23]

Wanawake sometimes muwe mnaficha ujinga wenu. Huu Uzi unahusu Forex and related issues. Habari za story za kujichokonoa sijui nini zenu hizo pelekeni jukwaa za Chi Chat.
Hapa watu wako serious na business issues.
 
Back
Top Bottom