Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Yaaan unaweza sema hizi folks zikiingia tmt zinapuliziwa dawa fulani inaitwa " shuntama"

Wamepigwa lkn wabishi eee Mungu!
 
Ohooo!! Lawd have mercy..I love you more best..!

Yaani na Mimi nakupendaga tu for no reasons. Hivi kwanini tusipendane tu wote Duniani... Kupendanana raha sana.

I love you Shunie.


Shankupe + LINAFIKI = Unpredictable Cirmustance
Nimewapa challenge wewe, Mama Sabrina, mzigua 90 na Palantir tuweke hapa screeenshots za Bank Accounts zetu.
Mimi niweke Trading Account yangu moja tu ya Tickmill.
Nyie na mashankupe wenu wote muweke vi accounts vyenu vyote vya NMB tuone nani anapaswa kulia njaa!!!
Chakushangaza wote mmekula chocho...
Acheni kuchokonoa chokonoa profiles za watu mtakuja kushika mavi.
 
Nilistop kwa muda kutrade baada ya huyu tapeli cre kunipa hasara na migogoro ilipoanza hapo TMT lbado nina salio JP Market mkuu....sasa leo hawa jp market wanatukana hakyanani Ontario tutamchoma moto
Forex is not for everyone, nasikiaga raha sana na malumbano ya forex[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Engineer unataka Balance za Bank au za Forex!?..
Halafu hata tukiweka utaamini vipi ni zetu/zako as long hatujuani hakuna prove ya kitakachoweza kukuaminisha/kutuaminisha badala yake utakuja na jibu lingine tena!.
Sisi tumetumia scenario zako, ambazo kwa akili ya kawaida tu wewe ni Mpumbavu huwezi ukajisifu unapiga 1mil kwa siku halafu unaleta tena thread ya kutaka ushauri wa kuiibia bank 5 mil hela ambayo mwenzio haiwezi nisaidia pata hata product 1 nayouza!..
For your info nauza products above 7 mil per each sasa ile 5 mil ety ukaiibie bank ujishushie heshima nikaku undervalue as F..
Siwezi shabikia kuweka bank account without proof whether ni yako au ya mjomba wako huko ulipo!..
 
Kumbe bado kuna wa tz mazwazwa ? Kweli nimeamini yajayo yanafurahisha[emoji1324]
 
Haaahaaa....Leo yamekuwa haya " Ontario tutamchoma moto" eeewwww!
Watu walimtukuza Ontario kama malaika, yan walituona vilaza grade ya taifa iv kabisa inaitajika kunishawish ilinipate utajir !!!

[HASHTAG]#make[/HASHTAG] money with no reason
[HASHTAG]#the[/HASHTAG] money team
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nasema tupo pamoja
 
Kwa mantiki hiyo 5 days hata sio intro. Bali kuandikishana majina na kufahamiana hahahahaha daaahh kuna watu wanamahesabu ya kuzimu walhi
 
Stress tupu hawa .....we told them hawakusikia!

Juzi nimekutana na na kademu fulani kanaongea kenyewe njiani nikajua tu kuwa " fx is not for everyone [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uchizi ushaanza. Mtu kaenda kutrade forex kapata dollar kadhaa kajiona na yeye bilionea tayari na kazi anaacha apate mida mzuri zaidi wa kutrade sasa mwishowe mambo yanakua kama hivi
 
Wewe hukutaka easy money Hahahaha nakusalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…