Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
Mjini shule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wazima na mbupu zao eti wamepigwa na kile kijamaaa...so sadKaja kuwacheka hujaona hapo nyuzi zake na wanaogopa kumqoute wanatumalizia hasira sisi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wow! Your comment has melt my soul. Thanks best.
Maandishi matamu kama Kamasutra. Siku hizi tunaandika kwa touch za kitapeli tu yaani Yale matamu tu . Ahahaha!
Yaaan unaweza sema hizi folks zikiingia tmt zinapuliziwa dawa fulani inaitwa " shuntama"hv ndivyo munavyodanganywa kuwa hamujaibiwa!?! ingekuwa kachukua share yake wamtafute wa nini si zake?! na asiporudisha wamfungulie mashtaka ili iweje ikiwa kachukua chake?! ifike wakati mujielewe musipelekwe kama misukule ama vipofu ,mumepigwa na hilo liko wazi huko kwngine n kujiliwaza
Ohooo!! Lawd have mercy..I love you more best..!
Yaani na Mimi nakupendaga tu for no reasons. Hivi kwanini tusipendane tu wote Duniani... Kupendanana raha sana.
I love you Shunie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Stress tupu hawa .....we told them hawakusikia!
Juzi nimekutana na na kademu fulani kanaongea kenyewe njiani nikajua tu kuwa " fx is not for everyone [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] hakuna namna tupendane tu kaka anguOhooo!! Lawd have mercy..I love you more best..!
Yaani na Mimi nakupendaga tu for no reasons. Hivi kwanini tusipendane tu wote Duniani... Kupendanana raha sana.
I love you Shunie.
Forex is not for everyone, nasikiaga raha sana na malumbano ya forex[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nilistop kwa muda kutrade baada ya huyu tapeli cre kunipa hasara na migogoro ilipoanza hapo TMT lbado nina salio JP Market mkuu....sasa leo hawa jp market wanatukana hakyanani Ontario tutamchoma moto
Hahah kwani nimekataa dada angu?Imfact dogo kakupiga gap na hizo mvi zako .
Acha chuki,punguza wivu .
Haaahaaa....Leo yamekuwa haya " Ontario tutamchoma moto" eeewwww!Forex is not for everyone, nasikiaga raha sana na malumbano ya forex[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Engineer unataka Balance za Bank au za Forex!?..Tufanye hivi, tuweke hapa screenshot za Balance ya Bank Accounts zetu hapa...
Mimi naweka Trading account yangu moja tu ya Tickmill (nitaconvert hizo USD to TZS).
Wewe weka Account zako zote, jumlisha na za Humble African (LINAFIKI), Mama Sabrina na Palantir
Then tuone mimi na nyie wote kwa pamoja nani Analia njaa...
Watu walimtukuza Ontario kama malaika, yan walituona vilaza grade ya taifa iv kabisa inaitajika kunishawish ilinipate utajir !!!Haaahaaa....Leo yamekuwa haya " Ontario tutamchoma moto" eeewwww!
as long your mama hakudemand condom ukapatikana shes also what you say mine is!..Malaya mama ako aliyekuzaa angeacha u-stripper usingezaliwa wewe kichwa nazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm mwenyewe forex tosha
Kwa mantiki hiyo 5 days hata sio intro. Bali kuandikishana majina na kufahamiana hahahahaha daaahh kuna watu wanamahesabu ya kuzimu walhiNa hili ndio kosa waliofanya .
Forex ni real but ubaya wake ni huu hapa.
[emoji117] kutegemea kupewa signals hapa lazima uwaone watu wachawi.
[emoji117] kuchaguliwa broker
[emoji117] kupitisha hela kwa middle men(TMT)
[emoji117] kutokuwa.na proper trading skills yaani kudandia soko kwa mbele lazima ulie.na ndio utaijua kuwa forex ni shule .
[emoji117] kutokuwa na subira ila kupata right entry na kutokuwa na forcus ya destination yako Mara baada ya kuingia sokoni .
[emoji117] kutopata mtu sahihi wa kukuongoza(mentor)
[emoji117] kutopenda kujisomea
Forex huwezi imasta kwa siku mbili wala mwezi mmoja it takes time hadi 4 years kikubwa patience and perseverance mwanzo mwisho
Others wise ndio ule msemo "Forex is not for everyone " utakuhusu uta give up njia
Kama Leo hii mkianza 100 kufundishwa forex baada ya miaka 3 watabaki wawill au mmoja tu.
Forex ni msitu mnene hauna easymoney
Uchizi ushaanza. Mtu kaenda kutrade forex kapata dollar kadhaa kajiona na yeye bilionea tayari na kazi anaacha apate mida mzuri zaidi wa kutrade sasa mwishowe mambo yanakua kama hiviStress tupu hawa .....we told them hawakusikia!
Juzi nimekutana na na kademu fulani kanaongea kenyewe njiani nikajua tu kuwa " fx is not for everyone [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Weee! niondoe mimi kwenye hawa vilaza wa TMT
Hivi we unaona mi wa kupigwa? Ebooo
Wewe hukutaka easy money Hahahaha nakusalimuWatu walimtukuza Ontario kama malaika, yan walituona vilaza grade ya taifa iv kabisa inaitajika kunishawish ilinipate utajir !!!
[HASHTAG]#make[/HASHTAG] money with no reason
[HASHTAG]#the[/HASHTAG] money team
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nasema tupo pamoja