Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Hapa kuna makundi matatu, yaani TMT, Clients na JP markets.

Nmesikiliza wakati yule msukuma anaongea na mtu wa JP markets kwa njia ya simu, naona kwa maelezo ya yule dada ni kama JP markets wamejiondoa kwenye responsibility ambayo ilikuwa ni ya kwao, and the reason behind ni kwasababu wao wanazo hela za clients ndio maana hilo jukumu la kuopen legal case wamewaachia clients wenyewe kitu ambacho sidhani kama kimekaa sawa.

Wa kuopen Case alikuwa ni Cre lakini kama ni kweli kuna gari la TMT analishikilia kama lake, sioni akitoboa kwenye hiyo case.

Labda naomba naomba niwaulize swali moja clients ambao mlikuwa bado mpo TMT, Ninachokumbuka kwenye kudeposit tulikuwa tunatumia account ya TMT je na kuwithdraw mlikuwa mnachukua hela kutoka kwenye hiyo account ya TMT??? Kama jibu ni hapana, basi JP markets hawakutakiwa kufreeze account zenu sababu the contract was between yeye na TMT naa siyo nyinyi clients.
 
acha ujinga wewe ontario ameiba pesa za client wake
 
Wahanga wa TMT acheni blah blah.Hapa hamna zaidi ya kumfungulia Ontario kesi ya wizi wa kuaminiwa.
 
Kwani Ontario yeye anasemaje mkuu!
Issue siyo Ontario anasemaje,issue ni fedha TMT account zimechotwa zote kinyume na taratibu.Matokeo clients mmekwama kuendesha shughuli za forex-Buy&Sell.
 
Issue siyo Ontario anasemaje,issue ni fedha TMT account zimechotwa zote kinyume na taratibu.Matokeo clients mmekwama kuendesha shughuli za forex-Buy&Sell.
Dahhh, sasa utamshtaki vipi mtu wakati huu bado hamna vielelezo boss?
 
Hii ishu ingekuwa kwa wenzetu huko wanakothamini sheria,kuna watu wangekuwa mahabusu saizi wanasubiri kesi zao kusikilizwa kwa pilato
 
Kuna watu wamepinga hii circle plan

Nilizungumzia watu wanne, lakn nafs moja ikiplay two parts(Crea & createn)

Ontario got skills from createn, na alivyoanza movements aliomba tafu kwa createn baada ya kuafikiana akaja kuandaa mazingira jamiiforum
Createn anakuja bongo kama crea, weng hawakujua kama ndio man alieanzsha hii harakat kwa Ontario walijua Ontario kamuajir yeye pamoja na rea

Crea alikua ni mbovu sana kwenye kutoa indicators kias cha kwamba weng walikua wanapata loss(yan mtu aliemfundsha Ontario anakua mbovu??)

Crea alikua anavujsha siri za kupishana kiswahil kwa kampun (like walikua wanaish kwa short-term kick kuaminsha watu kama wapo nao pamoja sana)

Crea alikua hawez kukubal amaintain constant profit flow at the same time akisimama kama createn(jp market broker) ana get loss

After a long period of time baada ya watu kupasuka sana crea anakuja na drama hii "JP market n mbaya coz n market maker" apo alisimama as a crea sio createn[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Rea alikua anatumia lugha ya ulimi na kuinspire watu juu ya morden life end how you can survive like white people do. Kama mlifatilia Uzi wa HUMBLE alishawai andika jamaa is true man na sfa nyng
Kaz ya rea ilikua kusoften mind tu

Nimejarbu kuconect mistar ya latitude na longitude kupata raman kamil lakn bado mstar wa ikweta na prime meridian naikosa kukamilsha tukio zima

Kama mwanamke akiandaliwa vzur inakua ngumu kuamin kama ndan ya dakk2 wazungu hao, ndio all victims wa TMT mmeandaliwa muda mrefu so inakua ngum kuamin kama mmepigwa, mnapigwa na mtapigwa ad mfike peak the kilimanjaro
 

Anway... are you trading forex? maana nimekuwa confused kwenye hayo maneno niliyoyahighlight kwa rangi nyekundu.
 
We jamaa nae ungekaaga quiet. Hujui unachoandika
 
Mali ya mjinga huliwa na mjanja....dogo kawaingiza watu wazima mjini.

Acheni upuuzi, fanyeni kazi na acheni na kutafuta short cut kwenye maisha. ...mbaf
 
Nlikuwa na msoma sana kwenye magrop anahamasisha mkacheka sana. Alinishawishi kidogo ningie mtegoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…