Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

We unatafutia watu Ban tu,
Hata we pia unajadiligi Ujinga
Humu siyo MMU, maigizo yenu yapelekeni MMU ndipo mlipoandaliwa, hapa watu wanajadili serious issues zinazohitaji kumakinika
 
Hebu tutoleeni ujinga na ufinyu wa akili zenu zenye size ya pilton.

Nendeni huko MMU Mkandange vizuri huku tunapeana Vitu mujarabu ambavyo kwa akili zenu za kuvukia barabara hamuwezi kung'amua zaidi ya kutuharibia our forex rhythm.
Wewe wacha nikustahi tu,
Sintotaka kukuandika vibaya kuhusu wewe,
Sawa natoka,
Uwe na Usiku mwema,
Bye
 
We unatafutia watu Ban tu,
Hata we pia unajadiligi Ujinga
Tena vunjeni sheria ili mpigwe ban vizuri tumeshawachoka , sijawahi ona positive contribution zenu humu. Ni upuuzi upuuzi tu. Unaona notification kutoka kwenye huu uzi unajua ni kitu cha maana kuhusu forex, unakuja faster yarabiiiiiii unakutana na meseji ya Liuza dera la Mwananyamala kwa mfuga mbwa kwenye uzi unaojumuisha watanzania wachache wenye IQ kubwa.


Please tunawaomba mtutukane hovyo ili mpigwe ban au mjiondoe nendeni aanzishe nyuzi zenu za kuuzina madela, chupi na vikoba huku tuachieni watanzania tunaotumia vichwa vyetu kufikiri na nyie mnaotumia vichwa vyenu kufugia nywele na kuvaa mawigi ya 1800 mtuache, We are real tired of you.

Forex hamjui, usikute hata bullish candlestick mnaweza dhani ni Papuchi au Dyudyu.


Tuachieni Nafasi.


Sasa ninawasubiri mrudi ka m a Mipanya Buku ya Ileje shambani ili niwabutue vizuri mpaka mkiona nyuzi za akili muwe mnazima data au mnakimbilia vikapu vyenu vya madela na chupi mnaenda kuuza mtaani.
 
Haikuwa rahisi kuanza comment ya kwanza mmpaka hapa, poleni sana wahanga.

"UKIITWA KWENYE FURSA, JUA WW NDIO FURSA"

Tujifunze ku judge vitu vingine na kupekua pekua jamani. Watu wachache wanaweza kuifanya Forex ikaonekana chungu sana maishani mwa watu. Ila pia ni jukumu letu sisi kujinasua wakati mwingine.
 
Huna uwezo wa kunitoa humu wewe, nitatoka nikitaka mimi mwenyewe,

hihihihihihihi..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] ila wewe hihi [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]


cc Smart911
 
With no reason! Kha kha
[emoji1] Wanaboa hawa mbuzi Basi tu
Masikini wee.. Poyeeee...haya [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Aure voir


Cc Smart911
 
With no reason! Kha kha
[emoji1] Wanaboa hawa mbuzi Basi tu
Masikini wee.. Poyeeee...haya [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Aure voir


Cc Smart911
 
Ila nyie watu wa MMU,celebrity forum,chit chat mnaboa sana kujadili upuuzi kwenye huu uzi halafu mwingine anatunga post ndefu halafu ndani kumejaa upupu mtupu. Ila yote ya yote nadhani ni muda watu wajifunze kufanya analysis wenyewe na kujaribu kushare analysis ili mjadili kuliko kutegemea signals za mtu kama kweli upo committed na hii game vinginevyo utageuzwa fursa sana na hawa wanaojiita pro traders kwa kuwa muuzuliaji mkubwa wa kila training, mnunua indicators na signals, sasa we jiulize kila anaejiita pro trader anajifanya mentor halafu anasisitiza kwa nguvu watu wajiunge na mentorship yake then jiulize huyo anaingiza pesa kupitia trading au training?
Training, kuuza indicators na signals ndio njia rahisi ya kupata pesa nyingi pasipo kuwa na stress wala emotional kuliko pesa ya trading yenyewe.
 
Tatizo hatupendi kutafiti reliability ya site husika. Templer FX hamna kitu. Kuna kasoro nyingi za kitaalamu ktk upande wa taarifa za kiteknolojia.
Jambo lingine ni unregulated broker.
 
Mkuu, siku na wewe huyo broker wako unaemtumia akikuibia/ kukutapeli pesa zako utafanyaje, utakaa kimya maisha yaendelee au utapambana upate haki yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…