Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Hoja zote ambazo hazikuwa na mashiko dhidi ya Templerfx nilishazijibu, usiwe mvivu pitia post zilizotangulia

Watu tunaomtumia Templerfx Ndio tunajua uzuri wake
Templer ni broker wa hovyo duniani, ana Late execution pia kuna muda anafanya candlestick zinakuwa shapes ambazo hazijawahi kuonekana duniani ili akupige. Bado sijaja kwenye suala la spreads.



Maoni yangu yamejikita kwenye uzoefu wangu wa kufanya kazi na templer
 
ye ndo anaechora izo candlestic? late exc,, inategemea na netwok ya eneo ulilopo kama voda usijaribu kutrade nayo kama wew ni sclaper pia season excution hua inachelewa kama v,,, ipo juu na si lazima uexcute njia salama ni kutumia stops and limit templer yupo vyema ila kama unatrade asia season yan mid nie hafai hata kama unaswing mida hio futa stop loss maana inaweza kuwa absorbed
 
Mods rekebisheni heading .... Mamilioni ya wana-TMT sio wanaforex
 
Kwa wale wanaohitaj bonus ya kuanza kutrade 30$ pm me....i ll direct u...ukiishapata unadraw pesa yako haina haja ya kudeposit hela yako ww unatoa faida yako anaweka kwa broker unayemtaka au kutrasfer to another trading account..
 
Kuna kitu najiuliza...mfano mimi nimeingia ubia na Jamaicans nikawaleta Bongo, baadae tukavurugana nikachukua hela kutoka kwenye akaunti ya kampuni nikajitoa. Baada ya hapo hawa jamaa wakaanza kunitafuta kwa nguvu zote. Je ninaweza kuthubutu kwenda kutembea Jamaica?!!
 
Kuna watu kumbe bado wanaendeleza mjadala huku wahusika wenyewe wakiwa wapo kimya!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…