Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Inamana Ontario kakimbilia SA?
 
Guys, there's a lot of cash in the market, Lets go get it

Cheers[emoji178]
 
Ontario kazingua watu wake lakini Forex is real and not to everyone huo ndio ukweli.
Sometimes tuwe tunajiongeza unaposikia fursa yoyote....za kuambiwa changanya na zako...
 
ok good lucky
 
Hivi ni nani kati yetu tunaochangia hapa ameibiwa pesa yake na huyo anayeitwa Ontario?? soma forex ata basics tu si kwa ajili ya kujipatia hela ila uelewa tu then linganisha na betting utaelewa kama n sahihi au la!!

Forex ikiwa ni kamari basi hata masoko ya hisa nayo ni kamari. Sina watu zaidi ya 10 ninaowafahamu waliofanikiwa kupitia Betting ila wapo zaidi ya 50 wanaishi vizuri kwa hii hii forex ambayo mmnasema n scam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…