Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Kuna kitu najiuliza...mfano mimi nimeingia ubia na Jamaicans nikawaleta Bongo, baadae tukavurugana nikachukua hela kutoka kwenye akaunti ya kampuni nikajitoa. Baada ya hapo hawa jamaa wakaanza kunitafuta kwa nguvu zote. Je ninaweza kuthubutu kwenda kutembea Jamaica?!!
Inamana Ontario kakimbilia SA?
 
Guys, there's a lot of cash in the market, Lets go get it

Cheers[emoji178]
 
Ontario kazingua watu wake lakini Forex is real and not to everyone huo ndio ukweli.
Sometimes tuwe tunajiongeza unaposikia fursa yoyote....za kuambiwa changanya na zako...
IMG_20180602_221658.jpg
 
Kifupi sikuwahi na siwezi kujaribu kuishi kwa kubahatisha, nani kakwambia kuna hela inapatikana kwa kubahatisha..
Narudia tena Forex haina tofauti na mchezo wa kubet..ambapo aliyebet anaishi kwa kupiga ramli, ni hivyo hivyo hata kwenye forex mnaishi kwa kupiga ramli... Hakuna hela ya mteremko..
ok good lucky
 
Hivi ni nani kati yetu tunaochangia hapa ameibiwa pesa yake na huyo anayeitwa Ontario?? soma forex ata basics tu si kwa ajili ya kujipatia hela ila uelewa tu then linganisha na betting utaelewa kama n sahihi au la!!

Forex ikiwa ni kamari basi hata masoko ya hisa nayo ni kamari. Sina watu zaidi ya 10 ninaowafahamu waliofanikiwa kupitia Betting ila wapo zaidi ya 50 wanaishi vizuri kwa hii hii forex ambayo mmnasema n scam.
 
Back
Top Bottom