Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
Zimefika... sijui nitamkuta nyumbani, naweza kufika mkewangu kumbe Interpool washamnyaka yuko selo hahahahaHahaha, Msalimie Nifah mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zimefika... sijui nitamkuta nyumbani, naweza kufika mkewangu kumbe Interpool washamnyaka yuko selo hahahahaHahaha, Msalimie Nifah mkuu
Hope utamkuta na mwanetu pia atakuwepo salamaZimefika... sijui nitamkuta nyumbani, naweza kufika mkewangu kumbe Interpool washamnyaka yuko selo hahahaha
Insha allah [emoji120]Hope utamkuta na mwanetu pia atakuwepo salama
EwaaaAcha tu niuze chenji vituoni nayo si forex au?
Shemu nipatie mrejesho wa kikao cha 17:00Zimefika... sijui nitamkuta nyumbani, naweza kufika mkewangu kumbe Interpool washamnyaka yuko selo hahahaha
Naam shemu! Kesho asubuhi mapema nakucheki kukupa mrejesho ulioshiba, usiku huu nilikuwa nafanya mazungumzo pia na yule...Shemu nipatie mrejesho wa kikao cha 17:00
Nakuaminia shemu, tunza dadanguNaam shemu! Kesho asubuhi mapema nakucheki kukupa mrejesho ulioshiba, usiku huu nilikuwa nafanya mazungumzo pia na yule...
AhhaahhahaahahHaha..wamekuja kugundua kumbe hata kutapeliwa is not for everyone..hiiiiiiii!
We jamaa kua makini utaolewaKwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.
Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.
Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.
Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.
JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.
TemplerFX | Promo
Sawa, acha wenzio wapige pesa Wewe endelea kumwaga matusi mkuuWe jamaa kua makini utaolewa
Fuata utaratibu mkuu, Templerfx anaongoza kwa huduma nzuri hapa bongoTempler ni broker wa hovyo kwenye upande wa customer service, kuweni makini sana. Nimedeposit hela tangu wiki iliyopita kwa kutumia Vodacom il haijasoma.
Kila siku wananizungusha. Wao templer na ipay africa hawajanisaidia chochote na sijapata msaada wowote kutoka templer zaidi ya kupigwa sound tu.
Please kuweni makini na templer hii sio mara ya kwanza kusumbuliwa. Ni broker tunaepaswa kufanya nae kazi kwa jicho la tahadhari kubwa mno.
Mwisho wa siku watanzania tutafute broker makini hawa wakina templer ipo siku tutakuja kusaga meno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani bet tamu sana odd zako 2 unatia milioni zako 5 unakula milioni 10 Mugu atupe nini mkuu...
Ngoja tuendelee kupambana na betting
Mdogo sana ila ana akili na ninachompendea. Kuwapiga wajuaji kama wa JF sio jambo la kitotoEeehh kijana balaa alivyoweka picha za marafiki wamepata magari SA. Mara ufugaji wa kuku mara kilimo aisee
Nikiwa mama mchungaji mambo ni house party tuu sijui havoc sijui tips naacha.Usihofu nitakuchagulia viwanja classic vya kwenda bila kuonekana ukiwa mama mchungaji.😀
watu wameibiwa pesa zao mnaleta utani wenu wa kijinga ...Shwain!
Maono yako yatakuja kukwambia na wewe ni jike. Kuwa makiniSijui kwa nini maono yangu yananiambia huyu anaejifanya mzigua nambari tisini ni dume ......