Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Kwa mantiki hiyo 5 days hata sio intro. Bali kuandikishana majina na kufahamiana hahahahaha daaahh kuna watu wanamahesabu ya kuzimu walhi
as long your mama hakudemand condom ukapatikana shes also what you say mine is!..
Kushirikisha wazazi mijadala ya ajabu kama hii ni kuonyesh ulivyo mtoto kichwani.
Unastahili kila aina ya tusi,


Bora baba yako angepiga punyeto shahawa zikaenda mitaroni kuliko kuzaliwa Raia wa hovyo ukanda mzima wa nchi za maziwa makuu.
 
Uchizi ushaanza. Mtu kaenda kutrade forex kapata dollar kadhaa kajiona na yeye bilionea tayari na kazi anaacha apate mida mzuri zaidi wa kutrade sasa mwishowe mambo yanakua kama hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na hili ndio kosa waliofanya .

Forex ni real but ubaya wake ni huu hapa.

[emoji117] kutegemea kupewa signals hapa lazima uwaone watu wachawi.

[emoji117] kuchaguliwa broker

[emoji117] kupitisha hela kwa middle men(TMT)

[emoji117] kutokuwa.na proper trading skills yaani kudandia soko kwa mbele lazima ulie.na ndio utaijua kuwa forex ni shule .

[emoji117] kutokuwa na subira ila kupata right entry na kutokuwa na forcus ya destination yako Mara baada ya kuingia sokoni .

[emoji117] kutopata mtu sahihi wa kukuongoza(mentor)

[emoji117] kutopenda kujisomea

Forex huwezi imasta kwa siku mbili wala mwezi mmoja it takes time hadi 4 years kikubwa patience and perseverance mwanzo mwisho

Others wise ndio ule msemo "Forex is not for everyone " utakuhusu uta give up njia

Kama Leo hii mkianza 100 kufundishwa forex baada ya miaka 3 watabaki wawill au mmoja tu.

Forex ni msitu mnene hauna easymoney
Ila umevamiwa na matapeli mkuu
 
Kahela kengine ka Mboga hako hapo *****..... Nina kama elfu 50 kasoro tuendelee kupiga soga ndugu zanguni [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
IMG_20180516_135047.jpg
 
Wewe hukutaka easy money Hahahaha nakusalimu
Nilijarbu kupnga mtazamo wa pesa za kirahis lakn matus niliyoyapata nayakumbuka ad kesho
1. You are not smart enough in the world of forex( yan ad napata degree inamaanisha mm n mbumbumbu, niliumia sana)

2.subir kupokonyana remote control na wadogo zako, et naish kwa wazaz forex hauiwez
3.subir kulelewa na shemej yako

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] najiona shujaa kwa kwel
 
Back
Top Bottom