Na hili ndio kosa waliofanya .
Forex ni real but ubaya wake ni huu hapa.
[emoji117] kutegemea kupewa signals hapa lazima uwaone watu wachawi.
[emoji117] kuchaguliwa broker
[emoji117] kupitisha hela kwa middle men(TMT)
[emoji117] kutokuwa.na proper trading skills yaani kudandia soko kwa mbele lazima ulie.na ndio utaijua kuwa forex ni shule .
[emoji117] kutokuwa na subira ila kupata right entry na kutokuwa na forcus ya destination yako Mara baada ya kuingia sokoni .
[emoji117] kutopata mtu sahihi wa kukuongoza(mentor)
[emoji117] kutopenda kujisomea
Forex huwezi imasta kwa siku mbili wala mwezi mmoja it takes time hadi 4 years kikubwa patience and perseverance mwanzo mwisho
Others wise ndio ule msemo "Forex is not for everyone " utakuhusu uta give up njia
Kama Leo hii mkianza 100 kufundishwa forex baada ya miaka 3 watabaki wawill au mmoja tu.
Forex ni msitu mnene hauna easymoney