Ontario kamalizwa kishamba mno!

Ivi niulize hii biashara ya FOREX serikali inakukata kodi? Na kama inakukata kodi je wanakukataje(kiwango gani)
 
Ili upige faida Forex ni
lazima uwe na Broker mzuri,
Broker anayepigiwa debe na
ONTARIO hayupo kabisa
ktk list ya ma-Broker bora
duniani, hapo ndo ONTARIO alichemka sana na
kuonekana kumbe alikuwa
anapigania maslahi yake
binafsi tu na ndio maana
nimekuwa kimya tangu
alipotuhumiwa humu nikadhani pengine angekuja
kujitetea lakini wapi, ni kwa
sababu na yeye anajua
kuwa alikuwa akitumika
kuunguza pesa za watu kwa
maslahi yake.
 
asilimia mia moja lina ukweli kabisaa
 
We umeshashea na wangapi pale unapopatia shilingi? umeinua wangapi unajua ontario akiumwa akasema anataka mchango unajua ni wangapi watajitoa kwa ajili yake? Uo ndo utajiri
TANZANIA sasa naona tunaaanza kukuaa kifikra , kiukweli watu huwa wanata mtu awe na upande mmoja mzuri wanao ujua wanasahau kwamba kama hizi nyuma tunazo kila mmoja wetu lakini still tunajitahidi kufanya mazuri.

bro nimekupenda bure upo positive naamini kama jamaa anaelewa basi ataacha kufanya hili maana hakuna hata mmoja anayeongeza kipato chake kwa kusema naman ya mwenzie anajipatia kipato.

jambo moja na kanuni natamani wengi wajifunze NENO LA KINGEREZA *LEARN* UKITOA *L* UNAPATA EARN SO KAMA TUNAHITAJI KUWA WATU AMBAO KUNA KITU TUNAINGIZA ANZA KWA KUJIFUNZA KWANZA KABLA HAUJALETA OPINIONS ZAKO
 
Njoo pm, unaonekana una hoja.
Kuja tuyajenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…