Optimus_Prime
Senior Member
- Nov 14, 2017
- 137
- 284
Ivi niulize hii biashara ya FOREX serikali inakukata kodi? Na kama inakukata kodi je wanakukataje(kiwango gani)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndio utakapoingia mtegoni na kusaga meno kama mashine ya kukoboa mahindi.Unatumia broker yupi kaka ili tujue, kama huwezi kumweka hadharani nitumie inbox
asilimia mia moja lina ukweli kabisaaIli upige faida Forex ni
lazima uwe na Broker mzuri,
Broker anayepigiwa debe na
ONTARIO hayupo kabisa
ktk list ya ma-Broker bora
duniani, hapo ndo ONTARIO alichemka sana na
kuonekana kumbe alikuwa
anapigania maslahi yake
binafsi tu na ndio maana
nimekuwa kimya tangu
alipotuhumiwa humu nikadhani pengine angekuja
kujitetea lakini wapi, ni kwa
sababu na yeye anajua
kuwa alikuwa akitumika
kuunguza pesa za watu kwa
maslahi yake.
Kwani lazima umtumie huyoasilimia mia moja lina ukweli kabisaa
ontario ni tapel tu since tupo ihungo boyz alikuwa anajifanya wa kishua mixer uwongo mwingiKwani lazima umtumie huyo
Duuh kumbe we nae kitambo ila saivi yupo juu kiuchumi kuliko wewe may be 107*ontario ni tapel tu since tupo ihungo boyz alikuwa anajifanya wa kishua mixer uwongo mwingi
kiuchumi hawezi kunifikia hataa kidogo ndugo ontario ni mchanga kifikra na kiuchumi pia kwanguDuuh kumbe we nae kitambo ila saivi yupo juu kiuchumi kuliko wewe may be 107*
Mkuu kumbe toka ihungo unashindana nae tu hadi humu Jf!?kiuchumi hawezi kunifikia hataa kidogo ndugo ontario ni mchanga kifikra na kiuchumi pia kwangu
We umeshashea na wangapi pale unapopatia shilingi? umeinua wangapi unajua ontario akiumwa akasema anataka mchango unajua ni wangapi watajitoa kwa ajili yake? Uo ndo utajirikiuchumi hawezi kunifikia hataa kidogo ndugo ontario ni mchanga kifikra na kiuchumi pia kwangu
Watu mnahasira hatariAmweke hadharani inbox kufanya nini
TANZANIA sasa naona tunaaanza kukuaa kifikra , kiukweli watu huwa wanata mtu awe na upande mmoja mzuri wanao ujua wanasahau kwamba kama hizi nyuma tunazo kila mmoja wetu lakini still tunajitahidi kufanya mazuri.We umeshashea na wangapi pale unapopatia shilingi? umeinua wangapi unajua ontario akiumwa akasema anataka mchango unajua ni wangapi watajitoa kwa ajili yake? Uo ndo utajiri
Njoo pm, unaonekana una hoja.Umeongea point nzuri sana ndugu yangu ingawa kuna mahala ntaku crush.
1.Ontario hana maslahi na FNB alisema tumia benk yoyote lakini FNB n rahisi kuna watu walitumia benk zingine lakini kuhamisha pesa ilikua n kwa swift code(wataalam wa mabenk watanielewa) akasema anawashauri FNB ndio rahisi
2.Kuhusu Huduma za TMT kifupi nampa Pongezi sana Tanzania tunaongoza kua na customer care mbovu lakini Pale TMT Nifa anajitahidi sana sana yule dada angu hana tatizo na mtu anasaidia sana
3.Lugha kali sijui hawaskilizi watu ontario huu ni uongo Tatizo lilikuja ni watu kutumia broker wengine wakalizwa pesa pasipo wao kujua wakaanza kulalamika na ilikua broker flani alikua na masharti Rahisi sana unaweka pesa kama sikosei hata kwa Mpesa lakin ikifika usiku akawa anaongeza Spread sasa kama uko kwenye trade na kiji account chako kina ela ndogo asubui unakuta moshi kwenye simu [emoji3].
4.Cre ni mtu 1 mstaraab sana tatizo watu nadhan approach ya kumuuliza maswali na kiingereza chenu hichi cha mchikichini akaona kama wanamdisturb.kuna muda akawa anatoa calls lakini inakuja tofaut na hapa ndio mtambur forex n kupata au kukosa hua inatokea ni kama umeenda kulima nyanya zako umevuna umezipaki upelele sokoni unakuja kugundua sokoni msimu huo nyanya zilikua nyingi sana so utapata hasara lakini sometimes utapata faida mnakumbuka mwaka fulan iringa dada kalima nyanya zikamuozea lakini ndio kama forex kuna muda unafanya analysis baadae mambo yanakua tofauti TATIZO LILIKUJA WENGI WALIKUA NA OVEREXPECTATION KUA UNALAZA MGONGO WAKO HAPO UNADOWNLOAD PESA HAYA HAO WANAOSEMA NI SCAM WAULIZE WAMESOMA VITABU GANI MPAKA SASA HII LEO HAO UKIWAULIZA “black shadow” “Moolah” au Kangaroo Tail n nin hawajui so Forex inataka kuna basic knowledge uwe nayo ndio utakua trader ambae atleast kila siku utalaza pesa,na mTz kusoma n mvivu haswa.
5.Kuhusu Bank kufunguliwa mikoani nadhani Mnajua taratibu za kibenk kufunguliwa mambo ya vibali na mambo mengine na mnajua kabisa mwaka huu masuala ya kibenk tanzania yameyumba tujipe muda tu watafungua lakini isiwe kigezo ch kumshambulia Ontario nadhan hii nguvu ingetumika kuwashambulia wanasiasa Tanzania leo tungekua na bomba zinatoa maziwa [emoji3].
6.Sina mahusiano yoyote na Ontario hanifahamu simfahamu na most of the Time sipo Tz wanaonijua wanajua hili nikikaa Tz mwezi basi kuna jambo kubwa sana nafanya kingine sifanyi forex ila naijua nje ndani na TMT nilienda kuona mazingira nilimpeleka mdogo wangu akasome na akanipa mrejesho na matunda nayaona juzi tu nimetumiwa $2000 akasema Kunywa maji hiyo pia akanieleza jinsi TMT inafanya kazi nikasema OK its Good na pia nimemtumia vitabu zaidi aweze kujua Tips na tricks za Forex.......nikasema fx itakusaidia kupata ela za vocha muda huu huna ajira bas fanya fx ili usiwasumbue wazazi ingawa pia na Loss hua anapata mfano wiki hii Pair nying zenye USD Zinafanya vizuri ila kidogo kidogo sana. why sifanyi Fx kuna kazi nafanya nakua tait sananakosa muda wa kufanya analysis zake.Lakini why naitetea kwa sabab naona Tz tatizo la ajira n gum sana kwahiyo basi vijana kuliko kukaa tu bora ufanye hata forex inasaidia kichwa kisilale saana pia huku unatafuta ajira za kujishikiza.
7.Tufike mahala tuache ujuaji nikipitia koment za watu naona kabisa Hii forex ya kutumia App ya MT4 wengi wao hawajui inafanya kazi vipi ndio maana wanakua na ubishi usio na data.
8.Kuhusu watu kutukanana nao wengi hua wanaanza kuni attack personally sasa ili kuendana nao hua na mimi narudisha majibu katika namna ambayo utakereka mpaka mwingine akaja PM akaanza kulia kwa hili mnisamehe tu sinaga simile kuna mahala fulani kijana 1 alinitukana sasa hua natembea na ile Teaser nilichomfanya nacho alisimulia kwao ni hayo tu.TAFUTA DATA KUHUSU FOREX SOME TERMS & CONDITIONS ZAKE NA ZA KILA BROKER UKIRIDHIA FANYA AU ACHA HAULAZIMISHWI NA MTU.
Jestina J.H.
Kuna signals 100%???100% working signal join the group for free, come witness the revolution. Ur guaranteed profitable. FreeForexSignals
[emoji23] [emoji23] sio kwa makavu hayoKuna signals 100%???
Hii hata wallstreet ,George soros ,trump na gurus wote hawajawahi kuwa nayo
Am safe to say you are scammer