Ontario kamalizwa kishamba mno!

Haya Series inaendelea kitakachofuata ni Ontario
1-ile ofisi pale Jangidi kafungua sehem mbaya
2-kuna mataa halafu n
3-karibu na St.Peters hatupend kukaa karibu na kanisa,
4-ziko karibu na wale CIA wa Tz tunawaogopa
5-wataanza kwanin asiweke Moroco pale n karibu na daladala zote za mjini na sehem ya jiji.
6-utaskia halafu kwanin kaweka ofisi yake 2nd Floor tunachoka kusubiria lift pale [emoji3]
7-mara ooh Polisi oysterbay tunawaogopa


Mwaka huu kazi ipo Forex sio ya watu mazezeta ina watu wake mtulie dawa iingie Young Guy 23 anatengeneza pesa kubwa sana mmebakia na vijiba vya roho tu umri mkubwa still mnakaa kwenu bado mnagombea rimoti ya startimes na watoto wa shemeji.
 
Naona na wewe ni Tapeli mkubwa, Umekwepa Title yako yote umeanza kujisifia unapata Ml 7 na zaidi hatuwezi kataa ni kawaida

Umeamua kujitangazia wewe binafsi biashara hii sio sahihi, Kama lengo lako ni kurekebisha waambie watu nini walikosea

Kwa kifupi wewe ni mwanafunzi wa TMT kwa ontario

Mwanafunzi hawezi kuwa juu ya Mwalimu wake ila kwa mafunzo maalumu
 
Pole utaolewa tu ukizeeka naona Povu itakuwa huna ajira wewe hivyo upo kwenu unajifariji ukidhani wote wapo kama wewe

Umechelewa sana kaza mwendo endelea kujifariji
 
Hahaha kwetu wanasema wamwisho ndio atakuwa wa kwanza, au wa mwisho ndiye atakuwa mshindi. Msiwe na haraka mjifunze muelewe kwanza ndio mfanye hayo ma forex, watanzania wanadhani wanafundishwa jinsi ya kushinda Tatu mzuka au biko. Akitoka kwenye seminar anaanza kufanya ma forex hahaha hiyo siyo kubet kama mikeka ya wahindi na wala siyo biko na siyo tatu mzuka, mtakuja amka usingizini mjikute mmelazwa bonde la msimbazi tena uchi. Shauri yenu sumu zingine hazionjwi wala kunuswa unaziangalia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…