M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Ila jamaa inabidi apige pige na mikoani hapa Dar wajanja wameanza kustuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ma Broker bora wa Forex wapo Cyprus na Israel .
Kweli mzeeIla jamaa inabidi apige pige na mikoani hapa Dar wajanja wameanza kustuka
Mkuu ww unatumia broker yupi aise ebu tushirikishe ndugu.Unatumia broker yupi kaka ili tujue, kama huwezi kumweka hadharani nitumie inbox
Amweke hadharani inbox kufanya niniUnatumia broker yupi kaka ili tujue, kama huwezi kumweka hadharani nitumie inbox
Templer ana nafuu kidogo kuliko JP MarketsUnatumia broker gan
Ikifika mwisho, utanisimuliaNaona series bado inaendelea.
Pole utaolewa tu ukizeeka naona Povu itakuwa huna ajira wewe hivyo upo kwenu unajifariji ukidhani wote wapo kama weweHaya Series inaendelea kitakachofuata ni Ontario
1-ile ofisi pale Jangidi kafungua sehem mbaya
2-kuna mataa halafu n
3-karibu na St.Peters hatupend kukaa karibu na kanisa,
4-ziko karibu na wale CIA wa Tz tunawaogopa
5-wataanza kwanin asiweke Moroco pale n karibu na daladala zote za mjini na sehem ya jiji.
6-utaskia halafu kwanin kaweka ofisi yake 2nd Floor tunachoka kusubiria lift pale [emoji3]
7-mara ooh Polisi oysterbay tunawaogopa
Mwaka huu kazi ipo Forex sio ya watu mazezeta ina watu wake mtulie dawa iingie Young Guy 23 anatengeneza pesa kubwa sana mmebakia na vijiba vya roho tu umri mkubwa still mnakaa kwenu bado mnagombea rimoti ya startimes na watoto wa shemeji.
Tupo pamojahizi story Kila nlijaribu kuzifuatilia ndo napote njia ngoja nikae hapa labda ntaelewa