Ontario kamalizwa kishamba mno!

Andiko halina thamani ya milioni 7 kwa mwezi;..wala laki 233,334 kwa siku;...wala kipato cha 19,445 kwa @ SAA moja;...ama Tsh 324 kwa @ dakika moja

Ni abrakadabra ya wavivu...wa kufikiri,na tamaa ya utajiri wa ghafla
Pole Sana ndugu, na hapa sijasema kila kitu ,eti halina thamani ya mil 7,hiyo pesa unaiona nyingi...surely Trump spoke the truth on us!
 
MKUU UNATUMIA BROKER GANI.
 
leo naona mnataka kulana wenyewe kwa wenyew sasa
Mara nyingi watu wa TMT huwa hawakubali mapungufu kwa uwazi. Ktk zile nyuzi za forex niligundua hilo. Yaani mara nyingi atatetea forex ya TMT kwa reply au post lakini yakiwekwa mapungufu ya TMT atayakubali kwa like lakini atayapinga kwa reply. Hili lilinifunza kuwa hata wao kuna mapungufu wanayaona "pengine" wanashindwa jinsi ya kuyawakilisha ktk uongozi wao.
 
...na hapo ndo ONTARIO alichemka sana na kuonekana kumbe alikuwa anapigania maslahi yake binafsi tu na yeye anajua kuwa alikuwa akitumika kuunguza pesa za watu kwa maslahi yake.
I see. Hii inaweza kuwa translated kama ''utapeli mamboleo''
 
Pole utaolewa tu ukizeeka naona Povu itakuwa huna ajira wewe hivyo upo kwenu unajifariji ukidhani wote wapo kama wewe

Umechelewa sana kaza mwendo endelea kujifariji

Bora kuolewa uzeeni kuliko mama ako kupewa mimba guesst na mafundi bomba ndio ukazaliwa na akili kama hizi na kulelewa na bibi kunyweshwa uji usio na sukari.
 
Andiko halina thamani ya milioni 7 kwa mwezi;..wala laki 233,334 kwa siku;...wala kipato cha 19,445 kwa @ SAA moja;...ama Tsh 324 kwa @ dakika moja

Ni abrakadabra ya wavivu...wa kufikiri,na tamaa ya utajiri wa ghafla
Angescreenshot hio payment kuthibitisha hio amount
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…