Ontario kamalizwa kishamba mno!


Uzuri umekuja pale pale mara ujajua kabla yake mara mentor Bavaria yan ulikua unafanya mentor kwa bavaria jus mentor tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapa ontario kawashika mahala conflict of interest pole sana lakini.na kama unatumi broker mwingine yeye ontario atajuaje sabab unatrade kwa sim au laptop yako nyumbani na hao wanaotumia broker wwngine vip wao kila siku wanavuna mapesa .??? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ukilipa ada IST unapewa terms and condition za lazima mtoto wake akimaliza hapa akasome Harvard? Nimelipa ada ya kujifunza forex, kwanini unilazimishe broker wako ndiye pekee nimtumie?

Kama hauna unachokipata kwa huyo broker, ambaye hao wanafunzi wa Ontario wanasema wazi alikuwa akiwaunguzia account zao makusudi kabisa. Kwahiyo hao wanaokuja kulalamika humu ni vichaa? Mmeshawaibia pesa, sasahivi mnawacheka sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti terms and conditions
 
Mentor na Bavaria ni watu wawili tofauti kabisa kama hujui..

Na huo mjadala tulikuwa tunaufanya wote kama wadau na hakuna aliyekuwa ananufaika kwa chochote..

Mkuu unaelewa kiswahili vizuri au tuanze kutumia kingereza? Teh teh teh
 

Ooh sifanyi forex mara sijui naijua forex kabla ya ontario mara sijui nakuaga na mentor Bavaria pambana na bavaria huko na broker wengine na uko huru ila Ontario ajawaikushikia watu mapanga watumie broker wake na atajuaje unatumia broker mwingine ili hali wewe akaunt yako hawez kusoma data zako KAJIPANGE BRO kumtetea mentor wako
 
Mentor na Bavaria ni watu wawili tofauti kabisa kama hujui..

Na huo mjadala tulikuwa tunaufanya wote kama wadau na hakuna aliyekuwa ananufaika kwa chochote..

Mkuu unaelewa kiswahili vizuri au tuanze kutumia kingereza? Teh teh teh

Lunchtime now huko East africa nenda kale na UPAMBANE NA HALI YAKO.
 
TULISHASEMA, WAJINGA NDIYO WALIWAO, TUKAONEKANA TUNA NONGWA.

SASA KAMA ANAWALAZIMISHA HADI KUCHAGUA MABROKER INA MANA KESHAWAONA NYIE WAJINGA KAWASHKA AKILI HUKU YEYE ANAPATA KAMISHEN YAKE KUTOKA KWA BROKER ANAYEMTUMIA KUWAPGA LOSE NA WAKAT HUOHUO ANAFYONZA ADA ZA MAFUNZO, YAN ANAKUPGA HUKU NA HUKU. HUU NDIYO UTAPELI TULIOMAANISHA, AKAJA ANA HOJA NYEPES ETI AMESAJILIWA, HV NAN KASEMA TAPELI HASAJILIWI?
 
Teh teh Mentor na Bavaria hakuna broker hapo.. Mbona unashindwa kuelewa jambo dogo kama hilo?

Ontario kawatapeli watu humu, aliwaaminisha ndani ya miezi 6 watauvuna utajiri wa ajabu teh teh miezi 6 haijaisha tayari wanafunzi wake wanamtolea mapovu
 
Teh teh teh wanasema ni TERMS and CONDITIONS.. Yaani ada nilipe Mimi na bado unichagulie broker kama sio kutaka kuniibia ni nini? Yaani hapo makusudi unanifundisha ujinga ili nikitrade nipate hasara wao wanufaike. Simple as that
 
Teh teh Mentor na Bavaria hakuna broker hapo.. Mbona unashindwa kuelewa jambo dogo kama hilo?

Ontario kawatapeli watu humu, aliwaaminisha ndani ya miezi 6 watauvuna utajiri wa ajabu teh teh miezi 6 haijaisha tayari wanafunzi wake wanamtolea mapovu

Kumbe. Hao wanafunzi walikubaliana kua miezi 6 watakua na mamilion so terms and cond. n kua within 6 months sasa wanalia nin miez 6 bado ijatimia Bro.
 

Waambieni hao wanafunzi waende Mahakamani au polisi fullstop sio kulia lia jf [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Yani hapo uliposema mtu unaamka asubuhi unakuta moshi kwenye simu nimecheka kama mwehu hapa nilipo
 
Kumbe. Hao wanafunzi walikubaliana kua miezi 6 watakua na mamilion so terms and cond. n kua within 6 months sasa wanalia nin miez 6 bado ijatimia Bro.
Wameshaanza kulia na vipesa vyao vimeunguzwa.. Teh teh alafu anawaambia tuendelee Mwaka 2018 utakuwa mzuri sana hahahaha.. Dogo janja janja sana huyo
 
Hii biashara ya forex Si rahis kama tunavyodhani sis ni ngumu mno na inahtaji muda sana kuiyelewa na sio kupapasa tu

Na pia hakuna sheria inayokulazimisha kchaguliwa broker katika hii biashara na ukiona MTU wa namna hyo muogope kama ukoma hafai kabisa mim nawashangaa sana eti miez 6 uvune mapesa sio kwa forex hii nayooifahamu mim
Mm nakula ubuyu tu nawachek jamaa wanavyopigwa pesa tu alafu wanakuja kulialia tu humu

Tuache kukurupuka tutapigwa sana tena sana ONTARIO endelea baba mwaka wako
 
Nina wasiwasi na uyu jestikila
Logically nikifatilia text zako kuna contradiction nyng sana

Amna mtamzania anaetetea ktu kama hauna maslai nacho
Upo bize huwez kufanya analysis, ila 27hours unashilik katka kulimwaga povu humu!!

Muwaonee huruma watanzania wenzenu, life n gumu na hali n tete sana
Maana mnawafksha points of no return ad wanaitwa mazezeta

Binafs forex n ujanja kama janja zngne

KUUNGUZA ACCOUNT NDIO KUIJUA FOREX
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…