Ontario kamalizwa kishamba mno!

Ontario kamalizwa kishamba mno!

Siamini kama Barclays SA wangeshindwa kutumia forex kujitajirisha..

Siamini nchi kama Greece ingepitia mdororo mkubwa wa kiuchumi wakati pesa za bure zipo forex..

Siamini kama Tz na nchi zingine za afrika tungetembeza bakuli wakati pesa za bure zipo..

Kwahiyo ulitaka Taifa la ugiriki au mataifa ya Africa tufanye forex nchi nzima yani tuache kazi zingine kuanzia marais mpaka wananchi wafanye Forex.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hata wewe naona kabisa ni wale vijana wanakaa kwao na akili imefika mahala imekutana na gingi limeandikwa “end of thinking”
 
Kwa taarifa yako Broker wewe upige ela upate loss ela yake iko pale pale na hiki wengi hamjui hawezi kula deal na broker hata siku 1. Ndugu yangu broker anapata ela yake pale tu umefungua positions za kutrade [emoji3][emoji3] ontario yeye anapata pesa kwa kuwafundisha pale TU.pole sana natamani ungekuja Dakar uone East Africa mlivolala akili kichwani.PIA ONTARIO HAKUMSHIKIA MTU PANGA AENDE AKASOME PALE MTAONGEA SANA SANA ILA FOREX IS NOT FOR EVERYONE.hata ukilima inaweza mvua isinyeshe na ukala hasara lakin hakuna ataekusumbua
Utapeli ni kutumia maneno mazuri ya udanganyifu kumuingiza mtu mkenge.. I wish ningekuwa na muda nikuwekee hapa uzi wake wa kwanza kabisa kuhusu forex na jinsi wengine tulivyoonya asiwaaminishe kwamba kila mtu anaweza kufanya hicho kitu lakini tuliishia kuambiwa tuna wivu na tunataka kufanya forex wenyewe hatutaki wengine wajue..

Utapeli hautumii silaa, ni kutumia weakness ya mtu/watu na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu..
 
Wacha aendelee kuwatapeli tatizo liko wapi ili hali ujatapeliwa wewe au ndugu yako ninachowapendea watz wengi ni Keyboard warrior WHY msiende polisi halafu uzuri wake ofisi yake ipo pale Karibia na Oysterbay Polisi moa ya vituo vya polisi vikubwa Dsm nendeni pale mkamchome naona itakua solution nzuri kuliko kuendelea kulalamika hivi.na ndio Maana Wanasiasa nchini Tz wanawapeleka peleka wanawageuza geuza kama chapati maisha yamekua magumu kutokana na kutochukua action mnaishi kulalamika mitandaoni haswa.SMH
 
Kwahiyo ulitaka Taifa la ugiriki au mataifa ya Africa tufanye forex nchi nzima yani tuache kazi zingine kuanzia marais mpaka wananchi wafanye Forex.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hata wewe naona kabisa ni wale vijana wanakaa kwao na akili imefika mahala imekutana na gingi limeandikwa “end of thinking”
Kwanini kabla ya kufirisika Benki Kuu ya Ugiriki wasingekaa na kupanga mkakati wa kufanya forex ili wajinusuru na kudidimia kwa uchumi.. Viashiria vilishaanza kuonekana na wachumi walishauri serikali vitu kadha wa kadha.. Lakini sikuona kama walishauriwa benki kuu yao ifanye forex ili ijiingizie pesa kunusuru nchi kuanguka..

Si jamaa yenu alianzisha uzi humu akisema biashara ya forex inafanywa sana na mabenki na mabenki hayataki watu binafsi tuijue hiyo biashara..
 
Kwenda polisi kufanya nini? Sisi tunaweka wavi hapahapa tu aseme ukweli forex ni kamari na sio biashara ya kudownload pesa mtandaoni kama alivyosema..

Kama yeye hanufaiki na huyo broker na anachokipata ni tuition fee tu, kwanini alazimishe watu watrade na broker wake tu? Kwanini kwenye hayo magroup yake ukimtaja broker mwingine anakuremove?
 
Elimu elimu elimu.Hata mzazi wako alisema kasome kasome soma mwanangu ukisoma utakua mkurugenzi utakua meneja utakua sijui rubani injinia hii leo umetumia takribani miaka 20 unasoma lakini umeishia kuzoa taka pale mabibo na kugombania daladala kaz yenyewe haina kichwa wla miguu.
 
Hizi mambo sijui Forex mara Bitclub zinanichanganya sana,mtu unaweza weka pesa mfano Bitclub halafu ukajikuta unapoteza kama ilivyokuwa kwa Deci maana wale wa mwanzo always ndio huwa wanufaika wa smart projects kama hii.
Kinachotuumiza wengi ni kutaka mafanikio ya haraka tena kirahisi,na hapa ndio tunapopasuliwa kweli,na tusipobadilika tutapasuka sana na kupasuka kwetu ndio kutajirika kwa wachache. Acheni tu mimi nikalime pilipili na vitunguu.
 
Elimu elimu elimu.Hata mzazi wako alisema kasome kasome soma mwanangu ukisoma utakua mkurugenzi utakua meneja utakua sijui rubani injinia hii leo umetumia takribani miaka 20 unasoma lakini umeishia kuzoa taka pale mabibo na kugombania daladala kaz yenyewe haina kichwa wla miguu.
Mkuu tunaongelea utapeli wa ndugu Ontario.. Ni vizuri ukajikita humo..

Umesema Ontario anapata tution fee tu na haibii wala kumlazimisha mtu..

Swali: Je, kwanini analazimisha watu wamtumie broker mmoja pekee na ukitaja hata jina la broker mwingine anakuremove? Je, ni kweli hafaidiki/hapati mgao kwa huyo broker anayempigia debe?
 
Kwenda polisi kufanya nini? Sisi tunaweka wavi hapahapa tu aseme ukweli forex ni kamari na sio biashara ya kudownload pesa mtandaoni kama alivyosema..

Kama yeye hanufaiki na huyo broker na anachokipata ni tuition fee tu, kwanini alazimishe watu watrade na broker wake tu? Kwanini kwenye hayo magroup yake ukimtaja broker mwingine anakuremove?

Kwani ulishikwa nywele za ma^***ko kwenda kusoma pale na kutrade forex mkiambiwa mnafanana akili na mnyama Pimbi mnatokwa jasho na kwenye hilo group kama anasema hivo unabakia kufanya nin si utoke halafu kingine pale Jangid ulibebwa na polisi kwenda kusoma pia umesema Tapeli nenda kamripoti polisi simple like that [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

TERMS AND CONDITIONS ZA ONTARIO na magroup yake ZINASEMAJE UKITAJA HATA 1 nakutumia $400 uirudishe ile akaunti yako ilioungua nilisema Watz wengi hawajui kufuata sheria mnakua mazezeta muda unavyokwenda.
 
Mkuu tunaongelea utapeli wa ndugu Ontario.. Ni vizuri ukajikita humo..

Umesema Ontario anapata tution fee tu na haibii wala kumlazimisha mtu..

Swali: Je, kwanini analazimisha watu wamtumie broker mmoja pekee na ukitaja hata jina la broker mwingine anakuremove? Je, ni kweli hafaidiki/hapati mgao kwa huyo broker anayempigia debe?

Kwanin usiendelee na broker mwingine huyo halafu utupiage ma screenshot ya bluu bluu eeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ontario hakuwaikumlazimisha mtu atumie broker gani ila alitoa angalizo na kuwaambia watu suala la broker ni vizuri mkatumia Jp markets kwa sabab hizi na hizi akasema msije tumia mabroker wengine ikala kwenu akasema kuna matapel wanajufanya broker halafu wakawaibia pesa zenu kumbuka Forex Tanzania mpaka mmeijua hata nyie watu wa Bukombe Ontario ndio kawafungua macho leo mnajifanya mnawajua mpaka mabroker wa Iraq au Syria [emoji3][emoji3][emoji3] Utanzania mzigo.
 
Kwani ulishikwa nywele za ma^***ko kwenda kusoma pale na kutrade forex mkiambiwa mnafanana akili na mnyama Pimbi mnatokwa jasho na kwenye hilo group kama anasema hivo unabakia kufanya nin si utoke halafu kingine pale Jangid ulibebwa na polisi kwenda kusoma pia umesema Tapeli nenda kamripoti polisi simple like that [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

TERMS AND CONDITIONS ZA ONTARIO na magroup yake ZINASEMAJE UKITAJA HATA 1 nakutumia $400 uirudishe ile akaunti yako ilioungua nilisema Watz wengi hawajui kufuata sheria mnakua mazezeta muda unavyokwenda.
Mkuu, mkuu James Comey alikwambia anashangaa unavyotoa lugha za matusi kujibu hoja, ukalalamika wao wanaanza kukutukana wewe.. Sasa je, ni wapi mimi nimekutukana mpaka unaanza kutumia lugha chafu?

Naomba urejee kwenye mstari mkuu au umekosa majibu? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwahiyo ulitaka Taifa la ugiriki au mataifa ya Africa tufanye forex nchi nzima yani tuache kazi zingine kuanzia marais mpaka wananchi wafanye Forex.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hata wewe naona kabisa ni wale vijana wanakaa kwao na akili imefika mahala imekutana na gingi limeandikwa “end of thinking”
Uyo ni mwehu mwenzako
 
Mkuu, mkuu James Comey alikwambia anashangaa unavyotoa lugha za matusi kujibu hoja, ukalalamika wao wanaanza kukutukana wewe.. Sasa je, ni wapi mimi nimekutukana mpaka unaanza kutumia lugha chafu?

Naomba urejee kwenye mstari mkuu au umekosa majibu? [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ukitaja T & C za TMT nimesema nakupa $400 ninazo cah ufungue ile akaunti yako ilioungua mimi hua napenda kufuata sheria kila mahala ndio maana nimeweza kukaa pahala popote hii dunia Sheria za TMT zinasemaje na Magroup yake .??? Maana yawezekana hata me nakosea mahala naomba sheria zake za magrup na zingine za kutrade hilo tu tho hyo TMT me nilimpeleka mdogo wangu sina undugu nao.
 
Utapeli ni kutumia maneno mazuri ya udanganyifu kumuingiza mtu mkenge.. I wish ningekuwa na muda nikuwekee hapa uzi wake wa kwanza kabisa kuhusu forex na jinsi wengine tulivyoonya asiwaaminishe kwamba kila mtu anaweza kufanya hicho kitu lakini tuliishia kuambiwa tuna wivu na tunataka kufanya forex wenyewe hatutaki wengine wajue..

Utapeli hautumii silaa, ni kutumia weakness ya mtu/watu na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu..
Tell him
 
Kwanin usiendelee na broker mwingine huyo halafu utupiage ma screenshot ya bluu bluu eeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ontario hakuwaikumlazimisha mtu atumie broker gani ila alitoa angalizo na kuwaambia watu suala la broker ni vizuri mkatumia Jp markets kwa sabab hizi na hizi akasema msije tumia mabroker wengine ikala kwenu akasema kuna matapel wanajufanya broker halafu wakawaibia pesa zenu kumbuka Forex Tanzania mpaka mmeijua hata nyie watu wa Bukombe Ontario ndio kawafungua macho leo mnajifanya mnawajua mpaka mabroker wa Iraq au Syria [emoji3][emoji3][emoji3] Utanzania mzigo.
Mkuu twende taratibu..

Kwanza sijawahi kujihusisha na chochote na huyo Ontario.. Hayo malalamiko wanapost wanafunzi wake ambao pia walishawahi kunitukana kama wewe hapo unavyofanya hapa..

Pili, Forex business hajaileta wala sijaijua kwa huyo dogo.. Tulishakuwa tunaijadili humu na akina Mentor, Bavaria na wengine hata kabla ya huyo dogo hajaijua forex yenyewe..

Tatu, umesema Ontario hapati chochote kwa huyo broker, kwanini analazimisha atumike huyo pekee?
 
Ukitaja T & C za TMT nimesema nakupa $400 ninazo cah ufungue ile akaunti yako ilioungua mimi hua napenda kufuata sheria kila mahala ndio maana nimeweza kukaa pahala popote hii dunia Sheria za TMT zinasemaje na Magroup yake .??? Maana yawezekana hata me nakosea mahala naomba sheria zake za magrup na zingine za kutrade hilo tu tho hyo TMT me nilimpeleka mdogo wangu sina undugu nao.
Sijui hizo terms and condition sababu siwezi kushikwa akili na tapeli.. Nilitahadharisha watu wanaenda kuibiwa na kweli wameibiwa na wamekuja wakilialia humu..

Ukishaona biashara ina terms and conditions za kijanja janja ujue kuna uwizi hapo.. Tuition fee nilipe mimi, alafu bado unipangie wa kutrade nae kama sio uwizi ni nini?
 
Ilikua lazima uje hiv kinyume nyume KUMBE HUJUI KITU UNABWATA BWATA KA MBWA ALIEKOSA SINDANO ZA KICHAA. kila bizness ina terms and Conditions sometimes uwe unatembela Brela pale upate elimu ndio mana TMT hawakupanga pale Jangid kwa kua wanapesa walipewa T&C za mwenye jengo pia wakapewa T&C na brela kufungua ofisi yao.Watz mshazoea kuish maisha yasio na utaratibu ndio maana ukaungua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]SMH
 
Back
Top Bottom